Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

Umekunywa zako maji ya kanisa, unafika kwa mamiloo unamuwashia moto wa laana unajisemea au ulikunywa maji ya baraka
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sasa hiyo si imeact hapo hapo..

......"Multiple congregants were affected, and the similarities in their ordeal gave them an idea of the crime Tracy had committed."....
 
Idara za maji ya mikoa isione hii taarifa ๐Ÿ˜‚ watu watajipatia uponyaji kupitia mabomba ya maji majumbani
 
Binti Asakwa na pilisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

=======
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada.

Mshukiwa ametambuliwa kwa jina la Tracy Sibanda mwenye umri wa miaka 18, na inasemekana alitekeleza unyama huo siku ya Pasaka na kuzua taharuki ndani ya kanisa.

Haijaeleweka bado kijana huyo alitoka wapi na wazo hilo la kifedhuli
======
The Zimbabwe Republic Police (ZRP) is on the hunt for a teen who mischievously sprinkled viagra in a church water tank during a service.

The incident occurred over the weekend during the Easter celebrations.

The naughty teen suspected to be behind the mischief, 18-year-old Tracy Sibanda, was at the Church of International Disciples in Thorngrove, Bulawayo, over the weekend.

A wild idea came to her mind and she decided to follow through with it.

Tracey had bought enhancing pills which works by increasing blood flow to the penis, helping the user maintain an erection.

Some potential side effects of Viagra are headaches, runny or blocked nose, a nosebleed, light-headedness or dizziness.

Tracy then allegedly threw the aphrodisiac into the church water and it was drama in the building.

Multiple congregants were affected, and the similarities in their ordeal gave them an idea of the crime Tracy had committed.
Masister hawajapigwa pumbu kweli๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tracy then allegedly threw the aphrodisiac into the church water and it was drama in the building.
What kind of drama?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

Inaonekana katika uzinzi anaotenda na wanaume wa kanisa hilo ni game kama goli la Yanga majuzi hapa. Hivyo kaamua kuwawekea ile kitu ya kuzimua
 
Maelezo yanasema zim, video inasema kenya, which is which masta ?
 
Tracey had bought enhancing pills which works by increasing blood flow to the penis, helping the user maintain an erection.
Labda kuna waumini hapo kanisani wanapita kwake ila hawamfikishi aliamuwa kuwapa booster
 
Mundende...
Ila comment za wadau humu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Binti huku mara kijana, nyie watu sijui mnafikiria nini mkiandika
Ni sawa tu mkuu, "kijana"inamaanisha umri wa makamo si mtoto wala si mtu mzima,pia anawezakuwa msichana au mvulana. Na hapa tumetambua kuwa ni msichana kutokana jina lililotumiwa nila mwanamke.(Tracey)
 
Video Taveta Kenya maelezo Bulawayo Zimbabwe

Haya bana
 
Binti mara kijana tukueleweje sasa nyoko wewe? [emoji848]

Ina maana hadi umri huu haujajua tofauti ya binti na kijana? [emoji848]

Anyways nimependa ujasiri wa binti katika kuhamasisha watu kugegedana. Kwa hicho alichowawekea waumini inabidi wale mgegedo ndio dawa iishe nguvu zake.
 
Unaweza kuleta ushahidi usiotia shaka?
Kuna Vitu viwili Kuna Ukweli halafu kuna Ushahidi..
Ukweli Si lazma uwekewe Ushahidi kwa sbabu unafahamika..
Ila Uongo ili uweze kupewa Nguvu unaitaji ushahidi..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ..

Kwa mfano kuna watu wanashindwa kesi na wanakutwa na hatia wakati Kosa hawajafanya ni kwa sababu ushahidi wao haukutosha..
Unataka kuniambia Mahakama Imesema kweli wanahatia?? Au Ushahidi haukutosha kuthibitisha wana hatia??
 
Back
Top Bottom