DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
π π π€£π€£Umekunywa zako maji ya kanisa, unafika kwa mamiloo unamuwashia moto wa laana unajisemea au ulikunywa maji ya baraka
Masister hawajapigwa pumbu kweliπ€£π€£π€£π€£Binti Asakwa na pilisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji
=======
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada.
Mshukiwa ametambuliwa kwa jina la Tracy Sibanda mwenye umri wa miaka 18, na inasemekana alitekeleza unyama huo siku ya Pasaka na kuzua taharuki ndani ya kanisa.
Haijaeleweka bado kijana huyo alitoka wapi na wazo hilo la kifedhuli
======
The Zimbabwe Republic Police (ZRP) is on the hunt for a teen who mischievously sprinkled viagra in a church water tank during a service.
The incident occurred over the weekend during the Easter celebrations.
The naughty teen suspected to be behind the mischief, 18-year-old Tracy Sibanda, was at the Church of International Disciples in Thorngrove, Bulawayo, over the weekend.
A wild idea came to her mind and she decided to follow through with it.
Tracey had bought enhancing pills which works by increasing blood flow to the penis, helping the user maintain an erection.
Some potential side effects of Viagra are headaches, runny or blocked nose, a nosebleed, light-headedness or dizziness.
Tracy then allegedly threw the aphrodisiac into the church water and it was drama in the building.
Multiple congregants were affected, and the similarities in their ordeal gave them an idea of the crime Tracy had committed.
π π π πSasa binti ameona kila mwanaume hapo kanisani akimkubali kwenda kwenye mizagamuano hawamuwezi kumfikisha, akaamua akinukishe kanisa zima.
Unaweza kuleta ushahidi usiotia shaka?Kanisani wasimsingizie Huyo Binti Hiyi mikesha ya pasaka kuna Ufuska sana sema wamefumwa wanajitetea π π
Unajua kuna watu wanapenda tu nchi Zao zisipoe bila matukio.Lengo lilikuwa ni nini?
What kind of drama?ππππππTracy then allegedly threw the aphrodisiac into the church water and it was drama in the building.
Inaonekana katika uzinzi anaotenda na wanaume wa kanisa hilo ni game kama goli la Yanga majuzi hapa. Hivyo kaamua kuwawekea ile kitu ya kuzimuaBinti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji
=======
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada.
Mshukiwa ametambuliwa kwa jina la Tracy Sibanda mwenye umri wa miaka 18, na inasemekana alitekeleza unyama huo siku ya Pasaka na kuzua taharuki ndani ya kanisa.
Haijaeleweka bado kijana huyo alitoka wapi na wazo hilo la kifedhuli
======
The Zimbabwe Republic Police (ZRP) is on the hunt for a teen who mischievously sprinkled viagra in a church water tank during a service.
The incident occurred over the weekend during the Easter celebrations.
The naughty teen suspected to be behind the mischief, 18-year-old Tracy Sibanda, was at the Church of International Disciples in Thorngrove, Bulawayo, over the weekend.
A wild idea came to her mind and she decided to follow through with it.
Tracey had bought enhancing pills which works by increasing blood flow to the penis, helping the user maintain an erection.
Some potential side effects of Viagra are headaches, runny or blocked nose, a nosebleed, light-headedness or dizziness.
Tracy then allegedly threw the aphrodisiac into the church water and it was drama in the building.
Multiple congregants were affected, and the similarities in their ordeal gave them an idea of the crime Tracy had committed.
Maelezo yanasema zim, video inasema kenya, which is which masta ?Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji
=======
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada.
Mshukiwa ametambuliwa kwa jina la Tracy Sibanda mwenye umri wa miaka 18, na inasemekana alitekeleza unyama huo siku ya Pasaka na kuzua taharuki ndani ya kanisa.
Haijaeleweka bado kijana huyo alitoka wapi na wazo hilo la kifedhuli
======
The Zimbabwe Republic Police (ZRP) is on the hunt for a teen who mischievously sprinkled viagra in a church water tank during a service.
The incident occurred over the weekend during the Easter celebrations.
The naughty teen suspected to be behind the mischief, 18-year-old Tracy Sibanda, was at the Church of International Disciples in Thorngrove, Bulawayo, over the weekend.
A wild idea came to her mind and she decided to follow through with it.
Tracey had bought enhancing pills which works by increasing blood flow to the penis, helping the user maintain an erection.
Some potential side effects of Viagra are headaches, runny or blocked nose, a nosebleed, light-headedness or dizziness.
Tracy then allegedly threw the aphrodisiac into the church water and it was drama in the building.
Multiple congregants were affected, and the similarities in their ordeal gave them an idea of the crime Tracy had committed.
Labda kuna waumini hapo kanisani wanapita kwake ila hawamfikishi aliamuwa kuwapa boosterTracey had bought enhancing pills which works by increasing blood flow to the penis, helping the user maintain an erection.
Ni sawa tu mkuu, "kijana"inamaanisha umri wa makamo si mtoto wala si mtu mzima,pia anawezakuwa msichana au mvulana. Na hapa tumetambua kuwa ni msichana kutokana jina lililotumiwa nila mwanamke.(Tracey)Binti huku mara kijana, nyie watu sijui mnafikiria nini mkiandika
Kuna Vitu viwili Kuna Ukweli halafu kuna Ushahidi..Unaweza kuleta ushahidi usiotia shaka?