Binti kamaliza form 6 na ndoto za kusomea udaktari kwa matokeo ya Division 1 ya 9; Physics C, Chemistry C, Biology C, Maths C, amekosa mkopo

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Habari za jioni wakuu mabibi na mabwana

Huyu binti namfahamu tangu akiwa mtoto. Anatoka kwenye mazingira magumu kuliko ngumu wenyewe.

Hamjui baba yake mzazi, hajawahi kumsikia wala kumuona.

Mazingira ambayo mama yake hawezi kumiliki hata simu ya elfu20, hawezi lipa kodi vyumba2 vya elfu 60 uswahilini kwetu huku, hana uhakika wa kulisha watoto wake milo miwili kwa siku lakini amepambana hadi binti kafika kidato cha sita kwa msaada wa serikali na amepata hayo matokeo hapo.

Alipofaulu kidato cha nne kwenda kidato cha tano mkoani hata nauli wachana na Ile ada ya elfu70 ya Magufuli ilikua shughuli kubwa. Wakati wa kufunga shule ndio ilikua hadi walimu wapige simu kwa namba atakazowapa za ndugu na jamaa ndio arudi njiani. Yaani kwa kifupi amekua kwenye mazingira magumu nyakati zote shuleni na nyumbani

Pamoja na kuwa amesoma shule zetu za serikali tangu chekechea hadi kidato cha sita na matokeo yake ni hayo hapo, amejitahidi kadri ya uwezo wake kwa lengo la kuja kusomea masomo ya utabibu kama udaktari au maana ya lakini leo nimeumia kidogo baada ya kumkuta kajikunyata kwa huzuni baada ya kukosa ufadhili au mkopo wa serikali kwa kozi hizo ambazo ada zake zipo juu

Nimewaza nikaona nije hapa jukwaani kwa wajuzi wa mambo maana najua hapa kuna wazoefu, walimu, wasomi, washauri, wazazi wenye mapenzi mema labda Huyu binti anaweza saidika

Mtoto wa mwenzio no mtoto wako, natanguliza shukrani

Nawasilisha🤝

Cc Dada Ummy Wizara ya Afya Tanzania
 
Msaidie kumtafuta mama Anna mkapa foundation yake inaweza kumasaidia and trully kwa ufaulu huu atasaidiwa. Try that option , bado muda upo kidogo mpaka October wakati vyuo vinafunguliwa. kachaguliwa chuo gani?
 
Anasema kaambiwa hakuna mkopo wa course zake
Naomba link mkuu
 
Msaidie pia kumpata baba yake hwenda yupo humu au wa humu wanamfaham. Nani ajuaye hwenda wewe ukawa ndo ufunguo wa upatanisho wake na baba yake na kisha baba kumpata mwanae na kuingia mzigoni kummwendeleza binti.
Mungu baba kwa neema yake atalisimamia hili.
 
Usikute baba yake ni wewe Ndugudu 😐😐😐
 
Ange -apply tena mkopo HESLB si wamefungua sahivi kwa academic year 2022/23
 
Habari za jioni wakuu mabibi na mabwana

Huyu binti namfahamu tangu akiwa mtoto. Anatoka kwenye mazingira magumu kuliko ngumu wenyewe.

Hamjui baba yake mzazi, hajawahi kumsikia wala kumuona.

Mazingira ambayo mama yake hawezi kumiliki hata simu ya elfu20, hawezi lipa kodi vyumba2 vya elfu 60 uswahilini kwetu huku, hana uhakika wa kulisha watoto wake milo miwili kwa siku lakini amepambana hadi binti kafika kidato cha sita kwa msaada wa serikali na amepata hayo matokeo hapo.

Alipofaulu kidato cha nne kwenda kidato cha tano mkoani hata nauli wachana na Ile ada ya elfu70 ya Magufuli ilikua shughuli kubwa. Wakati wa kufunga shule ndio ilikua hadi walimu wapige simu kwa namba atakazowapa za ndugu na jamaa ndio arudi njiani. Yaani kwa kifupi amekua kwenye mazingira magumu nyakati zote shuleni na nyumbani

Pamoja na kuwa amesoma shule zetu za serikali tangu chekechea hadi kidato cha sita na matokeo yake ni hayo hapo, amejitahidi kadri ya uwezo wake kwa lengo la kuja kusomea masomo ya utabibu kama udaktari au maana ya lakini leo nimeumia kidogo baada ya kumkuta kajikunyata kwa huzuni baada ya kukosa ufadhili au mkopo wa serikali kwa kozi hizo ambazo ada zake zipo juu

Nimewaza nikaona nije hapa jukwaani kwa wajuzi wa mambo maana najua hapa kuna wazoefu, walimu, wasomi, washauri, wazazi wenye mapenzi mema labda Huyu binti anaweza saidika

Mtoto wa mwenzio no mtoto wako, natanguliza shukrani

Nawasilisha🤝

Cc Dada Ummy Wizara ya Afya Tanzania
Mleta mada una uhakika na hii habari yako?
Wanafunzi ndio wako busy mwezi huu wa August kuomba chuo, udahili bado unaendelea, round ya kwanza imetoka, round ya pili ndio wako kwenye mchakato, sasa huyo binti anawezaje kuomba mkopo wakati wa udahili unaendelea?

Bodi ya mikopo bado hawajafungua rasmi dirisha la mikopo kwa wanafunzi wapya, vipi huyo binti keshajua amekosa mkopo?

Mpaka sasa, awamu ya kwanza imetoka, mwanafunzi mwenye ufaulu wa chini kabisa aliyepata kozi ya udaktari ana Division 1 (point 7), huyo binti mwenye Division 1 (Point 9) kapataje?
 
Mkuu huu uzi nkmeuandika kama nilivyopokea maelezo na ndio maana nimekuja kwenu kupata ushauri na maelekezo zaidi ili kumsaidia huyu binti

Hiyo ya mwanafunzi mmoja kupata nimeisikia

Kingine nilichoambiwa ni hilo kutokuwepo mikopo ya course hiyo kwa 100%

Ushauri wako wa nini anatakiwa kufanya sasa utamsaidia
 
Huyo binti kamaliza mwaka gani form six?

Hiyo division 1.9 form six
Hawezi pata chuo Cha Udaktari Cha Serikali Kama Muhas

Then Allocations za mkopo hazijatolewa kwa mwaka. 2022/2023 sasa unasemaje kakosa mkopo toka helsb

Wewe mama D

Kabla ya kupost habari tumia akili

Nimetumia akili ndio maana nikaja kwa wenye ujuzi zaidi yangu maana hakuna anayejua kila kitu duniani

Asante kwa kunipa jibu kwamba hawezi kupata Muhas

Ila na wewe wakati mwingine utumie akili kujua kwamba kile unachokijua wewe sio kila mtu anakijua

Barikiwa BUKOBA LAND 🤝
 
Back
Top Bottom