Binti kani-approach tufanye biashara ya pamoja (business partnership), je nimkubalie?

Binti kani-approach tufanye biashara ya pamoja (business partnership), je nimkubalie?

Huyo sio waifu ni mdau tu wa maendeleo.

Wakuu chochote mtachosema mimi nitakuwa mtekelezaji mwaminifu.

Mimi naliamini sana hili jukwaa halijawahi kuniangusha hata siku moja.

Mnasemaje wakuu

Mnanipa grini laiti au?
Poropozo za biashara zinaweza kuwa ni nzuri sana na mwanzo waweza kuwa ni mzuri, lakini hapo katikati, mbele mbele huko ndiyo kwenye shida.

Kwanza lazima uelewe kuwa mwanamke hataki hasara.

Kama hataki hasara, wakati mfumo wa biashara una faida na hasara, utalibebaje hilo jukumu la hasara peke yako wakati jambo hilo ni la pamoja?

Umejiandaaje kumkataa, akikuingizia gea ya mapenzi, kwa sababu mkifanya mapenzi, mmoja lazima atageuzwa mtumwa na mwingine atakuwa ni master na kisha faida ama mtaji kumezwa na master?

Je umefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha kuwa mwanamke huyo hatafuti daraja la kuvukia ili kufikia malengo fiche, bali ni mshirika halisi wa maendeleo kwa mradi huo huo?

Je wewe mwenyewe hauna nia ovu ya kumnasa kimapenzi mwanamke huyo kwa sababu ya ukaribu utakaokuwepo?

Kumbuka pia kuwa, ni wazungu tu ndiyo wenye maarifa ya kuwafuga chui na swala pamoja katika 'zoo' moja na wakaishi salama.

Lakini sisi waswahili, twaweza kupewa miongozo mizuri ya uhifadhi, lakini kwa uzembe tulio nao, kufuga chui na swala katika 'zoo' moja ni vigumu sana kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano.

Maana kwa uzembe mdogo tu, utakuta 'wamekulana', hapo hasara itakuwa kwa nani.

Sasa kwanini uanzishe project 'very delecate' na ambayo uangalizi wake ni mgumu sana kuudhibiti?

Usikurupuke, fanya utafiti wa kutosha kwanza kabla ya kuanza huo mradi wenu shirikishi.
 
Huyo sio waifu ni mdau tu wa maendeleo.

Wakuu chochote mtachosema mimi nitakuwa mtekelezaji mwaminifu.

Mimi naliamini sana hili jukwaa halijawahi kuniangusha hata siku moja.

Mnasemaje wakuu

Mnanipa grini laiti au?
Huna rafiki yoyote mwanaume ambae unaweza kufanya nae hiyo partnership?
 
Huyo sio waifu ni mdau tu wa maendeleo.

Wakuu chochote mtachosema mimi nitakuwa mtekelezaji mwaminifu.

Mimi naliamini sana hili jukwaa halijawahi kuniangusha hata siku moja.

Mnasemaje wakuu

Mnanipa grini laiti au?
Andikishaneni kisheria..maana Kuna kugeukana
 
Back
Top Bottom