Binti miaka 19 afariki siku yake ya kuzaliwa akiwa geto kwa mpenzi wake

Wakati najiandaa na mtihani wa kidato cha nne

Tulikuwa tunakaa Gheto tunasoma kutokana na akili za kukariri mambo watu walikuwa wakija kusoma gheto ninapokaa.

Siku moja alikuja Dada fulani ghafla akaanza kuumwa pale gheto aoikuwa anaumwa PUMU Mimi nilikuwa sielewi chochote kile.

Kilichosaidia mama mmoja akasema huyu anaumwa pumu so tulienda mchukulia dawa Fulani na Pepsi ndo - akapata nafuu

Ila angefia gheto , na alipanga siku hiyo tukeshe tunasoma na wadau wengine

So kafia gheto inaweza kukutokea hata bila kujua
 
Kesi kama hii ikikukuta Africa hata kama hukushiriki hutoboi. Polisi wetu ni wavivu wa upelelezi huwa anatafutwa wa kuangushiwa jumba bovu waendelee na majukumu mengine.
Kabisa mkuu kama hapo huyo kijana na yeye amekuta mpenzi wake kashafariki lakini watamtuhumu yeye
 
Wakati najiandaa na mtihani wa kidato cha nne

Tulikuwa tunakaa Gheto tunasoma kutokana na akili za kukariri mambo watu walikuwa wakija kusoma gheto ninapokaa.

Siku moja alikuja Dada fulani ghafla akaanza kuumwa pale gheto aoikuwa anaumwa PUMU Mimi nilikuwa sielewi chochote kile.

Kilichosaidia mama mmoja akasema huyu anaumwa pumu so tulienda mchukulia dawa Fulani na Pepsi ndo - akapata nafuu

Ila angefia gheto , na alipanga siku hiyo tukeshe tunasoma na wadau wengine

So kafia gheto inaweza kukutokea hata bila kujua
Hakika mkuu, inabidi kutokaribisha wageni nyumbani kwa usalama zaidi
 
Back
Top Bottom