Ikiwa halijakukuta utaona kawaida tu.
Miaka kama mingapi huko nyuma,mjama furani tulikua tunakaa jengo moja,milango imepakana. Kavuta chombo safi,kaanza kukikolombweza. Mechi tu inaisha,mdada amezimia. Lijamaa liite,likiwa wa mnyama,mdaada wa watu nae kama alivyozaliwa,ulimi umetoka. Msenge badala ya kufanya jitihada za kumpeleka hata hospitali, kavaa na kukimbia.
Jirani hapo sasa, na mi nishaambiwa ukimshika mtu alokufa,alama za vidole hazifutiki. Mi nifungwe kisa mtu aliegegeda! Niliishia tu kula kwa macho,mlango kurudishia,nilitumia fagio,mida kama saa tano usiku ndo mwanamke kazinduka. Kumpigia simu mtu wake,keshaiminya haipatikani.
Haya mambo yasikie kwa mwenzio tu.