DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hamna hatari yoyote ikiwa amekufa kifo cha kawaida .Mfano mwanamke kafia nyumbani kwako wewe mwenye nyumba hautakuwa kwenye hatari??
Lakini kushikiliwa na polisi kwaajili ya uchunguzi kupo pale paleHamna hatari yoyote ikiwa amekufa kifo cha kawaida .
Ndo maana unashauriwa kuwa mwanamke akija kwako anabidi atoe taarifa zake kwa watu wake wa karibu
HapanaMfano mwanamke kafia nyumbani kwako wewe mwenye nyumba hautakuwa kwenye hatari??
Kivipi??Hapana
%95 ya mahusiano ya kizazi cha sasa ni yanaanza katika misingi isiyo kuwa rasimi bila kujali waanzisha mahusiano wana umri gani na bado wanasoma au wamemaliza masomo.Mashisha haya wanayovuta watoto wa kike siku hizi sio salama sijui kwann wanayapenda.
Kuna jambo ambalo naona ni changamoto sana na jamii inatakiwa kulitafakari upya.
Vijana wengi wanakutwa na umri wa kuanza mahusiano wakiwa kwa wazazi. Shinikizo la wazazi linakuwa ni kwamba mapenzi ni kitu haramu na hutakiwi kuyaingia hadi umalize shule.
Ule muda wa kumaliza shule ni mrefu na hapo katikati vishawishi ni vingi. Vijana na mabinti wengi wanapotea eneo hilo na kuharibu future zao za kimahusiano sababu ya kusubiria wakati rasmi ambao huwa ni miaka mingi mbele.
Matokeo ndio kama hivi, vijana na mabinti wanakuwa na shughuli za kimahusiano zisizo rasmi na wazazi hawajui lolote.
Mkuu kwa polisi wetu hawa wazembe wa kufanya uchunguzi utaipatapata.Hamna hatari yoyote ikiwa amekufa kifo cha kawaida .
Ndo maana unashauriwa kuwa mwanamke akija kwako anabidi atoe taarifa zake kwa watu wake wa Muhimu.
Jamaaa atakuwa aliipiga mbususu kweli kweli mpaka demu kakosa hewa 🤣🤣🤣🤣Rip bi shost
Uliyatimba kwa muhuni
Dah! 😁😁😁🙌Jamaaa atakuwa aliipiga mbususu kweli kweli mpaka demu kakosa hewa 🤣🤣🤣🤣
Jamani warembo njooni kwetu sie wazee wa dakika mbili chali
Huko kwa kina mandingo mtakufaaaa
Karibu uonje kibamiaDah! 😁😁😁🙌
Mh! Nilivyoonja vinatosha😁Karibu uonje kibamia
Na walikuwa wametoka kupartyHuenda alikunywa pombe Kali siku hiyo
Vipi muhogo na bamia ipi tamu?Mh! Nilivyoonja vinatosha😁
Wewe una masihara sana, mimi sina jibu😁😁🙌Vipi muhogo na bamia ipi tamu?
Mwenzenu kala muhogo umempalia 🤣🤣🤣🤣🤣
Most likely. Hawa mademu wa siku hizi wanajitoa akiliHuenda alikunywa pombe Kali siku hiyo