ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Fafanua anaibiwaje?Unaibiwa
Juzijuzi hapa kuna jamaa kakamatwa hivyohivyo,amelala ndani,polisi wakamata bila yeye kutarajia,walitrack simu yake,teknolojia imekua ndugu yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua anaibiwaje?Unaibiwa
Kachapwe mara ngapi wakati huko kalipo kanachapwa tena kakiwa uchiKanatakiwa kachapwe hakoo
Acha uongo, na usiambukize uongo wako kwa generation yako, wapi USA wanasubiria huo muda?,48hrs!!!tayari mtu atakua nje ya hizi porous borders zetuHata Marekani hungoja reasonable mda kabla ya kuanza kutafutwa, ni kawaida, mnapenda sana kubeza mambo ya nchi, siyo yote ni Mabaya.
Alishapatikana kwa Mwanaume,muanzisha Uzi alishajibu humuHiki kizazi hakika ni cha laana. Kusema ni utandawazi siyo kweli kwa 50%. Hivi enzi zetu eti upotee!!! Halafu eti upatikane uende nyumbani ukale ugali kwa amani tu!!!! Huku kupotea kwa watoto hasa mabinti ni ishara ya kumomonyoka maadili ya watoto wetu na familia kwa ujumla. Mbona wavulana hatuskii wakipotea. Kweli upwilu siyo rafiki. Huyo kaenda kwa mwanaume tu kutoa upwilu. Kuondoka na nguo alizovaa pekee hakuondoi hoja kuwa ameenda kwa bwana tena kwa hiari yake. Hajauwawa Wala kujiua, wewe subiri tu mahari.
Note my words.
Hahaa, alafu huyu boda kama namjua hivi.Nimempata. Alitoroshwa na huyu jamaa. Baada ya kumtorosha alimbadilishia namba ya simu, hadi sasa anatumia namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la huyu jamaa. Kwa mujibu wao wameoana. Asanteni kwa michango yenu, mbinu nilizopata humu ndizo nilizozitumia kumpata. Asanteni sana.
Hao cyber walifanya nini kwa kigogo+tiss enzi za maguu??Unajua humu watu hawana experience yoyote kazi ni kuropoka tu kutrack tena unaweza watumia hao hao ukiwa nyumban Wana kutrakia mtu yoyote ambae unashda nae uwe na hela tu.
Endelea kujidanganya alafu kigogo yupo nje cyper wanatumia mitambo ya ndani vtu vingne usitumie akili kubwa sana kuwaza alafu kigogo sio level zako zaHao cyber walifanya nini kwa kigogo+tiss enzi za maguu??
In short wanaweza kwa Malay man Wa technologia, Mimi nikiharibu kwa hapa bongo naamini huwezi kunitrack via local technology Abadan
I expected to hear that,Alishapatikana kwa Mwanaume,muanzisha Uzi alishajibu humu
wacha malalamiko na ujuaji mkuu,hiyo ni sheria iliyotungwa na bunge lako wao wasimamizi tu.Pole sana mkuu, ILA hawa police ni piece of shit, why wasubirie 48hrs?,hii sheria ya wapi?nchi hii kweli ni pithole one,mtu akiwa potea, police wanatakiwa waanze muda huo huo kumtafuta, 48 hrs ameshavuka hizi porous borders zetu ndio maana jeshi la police nitalivunja na all above 40 yrs nitawapa marching order, leta vijana wapya wenye ari mpya
tuombe Mungu uwe umepata mkwe tu ila sio mengineyo,japo kihuni lakini ni heri zaidi.Habari ndugu zangu.
Ninaomba msaada, binti huyu ninaambatanisha picha zake amepotea tangu tarehe 27/08/2023.
Binti huyu anaitwa Antia Focas, nyumbani walizoea kumuita Nyakato. Ana umri wa miaka 19. Mkazi wa Mkundi Morogoro, japo ana miezi mitatu tu tangu ahamie mkundi, mwanzoni tulikuwa tukiishi Kihonda-Maghorofani. Mimi ni baba yake mdogo, nimekuwa nikiishi naye kwa muda wa miaka mitatu sasa tangu nimtoe kwa wazazi wake.
Niligundua kuwa amepotea tarehe 27/08/2023 muda wa saa 7:30 (saba na nusu) mchana, hii ni kwa sababu alikuwa akimpeleka mtoto shule alafu anapitia kujifunza cherehani, ikifika saa sita na nusu anakwenda shule kumfata mtoto, wanarudi nyumba muda wa saa 7:30. Siku hiyo ilifika muda huo hajarudi, ilipofika saa nane na nusu tukapiga simu shuleni na kugundua kuwa hata mtoto alikuwa hajachukuliwa pale shuleni, shule inaitwa WESLEY.
Tulipopiga simu kwa mtu aliyekuwa akimfundisha cherehani, alisema kuwa alifika tu asubuhi, akaaga kuwa anakwenda saloon, kuosha nywele na kusuka. Tulipofatilia saloon, tukaambiwa kuwa hakufika. Tulitoa taarifa katika kitua cha polisi cha Kihonda, tukaambiwa turudi baada ya masaa 48 kama hajapatikana, tuliporudi tukapewa RB namba na kuambiwa tuendelee kumtafuta.
Bahati mbaya hadi leo hatujampta, alikuwa na simu lakini tangu apotee haipatikani. Pengine ni rahisi kufikiri kuwa labda katoroshwa na mwanaume, lakini mazingira aliyoondoka yatia shaka, kwani hakubeba kitu chochote. Hakubeba hata nguo moja wala mkoba. Naomba msaada wenu kwa atakayemuona.
Simu 0766729127/0688746145.
Asanteni.
View attachment 2735961View attachment 2735963View attachment 2735964View attachment 2735973
Alitoroshwa au alijipeleka mkuu??Nimempata. Alitoroshwa na huyu jamaa. Baada ya kumtorosha alimbadilishia namba ya simu, hadi sasa anatumia namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la huyu jamaa. Kwa mujibu wao wameoana. Asanteni kwa michango yenu, mbinu nilizopata humu ndizo nilizozitumia kumpata. Asanteni sana.
Kwenye mambo ya technology unaweza ukawa vizuri ila kuna makosa ya kibinadamu unakamatwa vizuri sana, kwa ujumla sisi watu wa teknolojia wa dunia ya huku ni watumiaji tu kama makalani, hata utumie chain VPN zaidi ya 70+ kwa muda mmoja za kulipia.Hao cyber walifanya nini kwa kigogo+tiss enzi za maguu??
In short wanaweza kwa Malay man Wa technologia, Mimi nikiharibu kwa hapa bongo naamini huwezi kunitrack via local technology Abadan
Swadakta!Kwenye mambo ya technology unaweza ukawa vizuri ila kuna makosa ya kibinadamu unakamatwa vizuri sana, kwa ujumla sisi watu wa teknolojia wa dunia ya huku ni watumiaji tu kama makalani, hata utumie chain VPN zaidi ya 70+ kwa muda mmoja za kulipia.
pia kama saivi unafanya kosa umelindaje taarifa zako hayo yanaweza yakawa ni makosa ya kibinadamu ukapelekea kukamatwa.
Kama kuna mmoja anasema atazima simu [emoji1787][emoji1787][emoji23] eti washindwe Kim - track, wakati kuzima simu ni kupumzisha display tu, ila component za simu zinafanya kazi ndio maana hata battery [emoji367] inaisha, ukiweka alarm [emoji354] itaita, na unakamatwa ukiwa na simu yako imezima.
Labda hujui kuwa kuna mgogoro wa campuni fulani ya Israel imeuza program ya kudukua WhatsApp ila huku unaambiwa WhatsApp is end to end. Technologia inakuwa kwa kasi sana