Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Yani sikuizi kuna vijana wa hovyo sana..Asa binti kama huyo jamani 😧😧We hujui? Sasa watu wametega chambo akivuka 18 km haendelei na shule huyo Mali ya wahuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani sikuizi kuna vijana wa hovyo sana..Asa binti kama huyo jamani 😧😧We hujui? Sasa watu wametega chambo akivuka 18 km haendelei na shule huyo Mali ya wahuni
Ulimpata lini? Hivi hawa wanawake wanaotoroka home na kwenda kuukalia mpk hawarudi nyumbani hivi uwa wako timamu?Nimempata. Alitoroshwa na huyu jamaa. Baada ya kumtorosha alimbadilishia namba ya simu, hadi sasa anatumia namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la huyu jamaa. Kwa mujibu wao wameoana. Asanteni kwa michango yenu, mbinu nilizopata humu ndizo nilizozitumia kumpata. Asanteni sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], haiwezekani,Inaweza ikawa anasoma comment yako mda HUU huku akiwa anabimjuliwa na muhuni wake
Unafikiri hii nchi ni ya wafungwa wako binafsi? Una akili za kinyapara sana. Ni tatizo kubwaPole sana mkuu, ILA hawa police ni piece of shit, why wasubirie 48hrs?,hii sheria ya wapi?nchi hii kweli ni pithole one,mtu akiwa potea, police wanatakiwa waanze muda huo huo kumtafuta, 48 hrs ameshavuka hizi porous borders zetu ndio maana jeshi la police nitalivunja na all above 40 yrs nitawapa marching order, leta vijana wapya wenye ari mpya
🤣🤣 hawawezagi kubinuliwa kisha waoge warudi nyumbani?? Mimi sielewi aiseeInaweza ikawa anasoma comment yako mda HUU huku akiwa anabimjuliwa na muhuni wake
Mtoto binti? Wahuni wanamuona mtu mzima sana huyoYani sikuizi kuna vijana wa hovyo sana..Asa binti kama huyo jamani 😧😧
Hehehehehe😃😃😃😃😂Nimempata. Alitoroshwa na huyu jamaa. Baada ya kumtorosha alimbadilishia namba ya simu, hadi sasa anatumia namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la huyu jamaa. Kwa mujibu wao wameoana. Asanteni kwa michango yenu, mbinu nilizopata humu ndizo nilizozitumia kumpata. Asanteni sana.
Yani 😂Mtoto binti? Wahuni wanamuona mtu mzima sana huyo
Hawajitambui,yaani lijito haliwazi kuwa nitawapa shida ndugu lenyewe linatoroka tu,Ulimpata lini? Hivi hawa wanawake wanaotoroka home na kwenda kuukalia mpk hawarudi nyumbani hivi uwa wako timamu?
Mimi sijawahi kuwaelewa kabisa… [emoji119] inawezekana vipi? Mwanaume anakulaghai tu nawe unakubali mpk kutokurudi nyumbani!??
Muhuni jinsi anavyochochelea ukuni arudi nyumbani kufanya nini sasa na yeye kafuata vitu vitamu 😣🤣🤣 hawawezagi kubinuliwa kisha waoge warudi nyumbani?? Mimi sielewi aisee
Hujawahi kukalia chuma Cha muhuni ukakolea wewe na usiombe ikukute utahama kwenu kwa kumlazimisha akutekeHawajitambui,yaani lijito haliwazi kuwa nitawapa shida ndugu lenyewe linatoroka tu,
Mtu si unaaga tu,
Eeee wenzako ukiwa unasubiri ziive wanazila na chumvi zikiwa na uchachu wake hivyo hivyoYani 😂
Mihemko hiyo sina[emoji1787],Hujawahi kukalia chuma Cha muhuni ukakolea wewe na usiombe ikukute utahama kwenu kwa kumlazimisha akuteke
Huu ni upuuzi wewe. Watu wana libido za mpaka kumwagika, ila kwenda kwa kijamaa na usirudi nyumbani huo ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu.Hujawahi kukalia chuma Cha muhuni ukakolea wewe na usiombe ikukute utahama kwenu kwa kumlazimisha akuteke
Sema hujakutana naeMihemko hiyo sina[emoji1787],
Yaan hapo amemwagika mpaka UBONGO kamalizwa kaisha anaona yupo paradiso kabisa kumbe ni jaambo la mda tu ndeee kibendi jamaa anaanza kumkana na kumwambia arudi kwaoHuu ni upuuzi wewe. Watu wana libido za mpaka kumwagika, ila kwenda kwa kijamaa na usirudi nyumbani huo ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu.
Umejuaje?? Yaani hiyo inatokana na kutokuwa na nidhamu, we unaondokaje home na usirudi kisa umekutana na mpuuzi mmoja.Sema hujakutana nae
Heee kuna watu wana uthubutu wa kindezi kweli kweli. Kanatakiwa kachapwe hakooHawajitambui,yaani lijito haliwazi kuwa nitawapa shida ndugu lenyewe linatoroka tu,
Mtu si unaaga tu,
Umekutana na dushe moja sio mpuuzi mmojaUmejuaje?? Yaani hiyo inatokana na kutokuwa na nidhamu, we unaondokaje home na usirudi kisa umekutana na mpuuzi mmoja.