Binti (miaka 19) amepotea, naomba msaada kwa atakayemuona

Fafanua anaibiwaje?
Juzijuzi hapa kuna jamaa kakamatwa hivyohivyo,amelala ndani,polisi wakamata bila yeye kutarajia,walitrack simu yake,teknolojia imekua ndugu yangu.
 
Hiki kizazi hakika ni cha laana. Kusema ni utandawazi siyo kweli kwa 50%. Hivi enzi zetu eti upotee!!! Halafu eti upatikane uende nyumbani ukale ugali kwa amani tu!!!! Huku kupotea kwa watoto hasa mabinti ni ishara ya kumomonyoka maadili ya watoto wetu na familia kwa ujumla. Mbona wavulana hatuskii wakipotea. Kweli upwilu siyo rafiki. Huyo kaenda kwa mwanaume tu kutoa upwilu. Kuondoka na nguo alizovaa pekee hakuondoi hoja kuwa ameenda kwa bwana tena kwa hiari yake. Hajauwawa Wala kujiua, wewe subiri tu mahari.

Note my words.
 
Kanatakiwa kachapwe hakoo
Kachapwe mara ngapi wakati huko kalipo kanachapwa tena kakiwa uchi

Kuna bodaboda imepita hapa imebeba mishkaki nimemuona km yeye yupo katikati muhuni wake yupo nyuma
 
Hata Marekani hungoja reasonable mda kabla ya kuanza kutafutwa, ni kawaida, mnapenda sana kubeza mambo ya nchi, siyo yote ni Mabaya.
Acha uongo, na usiambukize uongo wako kwa generation yako, wapi USA wanasubiria huo muda?,48hrs!!!tayari mtu atakua nje ya hizi porous borders zetu
 
Alishapatikana kwa Mwanaume,muanzisha Uzi alishajibu humu
 
Hahaa, alafu huyu boda kama namjua hivi.
 
Unajua humu watu hawana experience yoyote kazi ni kuropoka tu kutrack tena unaweza watumia hao hao ukiwa nyumban Wana kutrakia mtu yoyote ambae unashda nae uwe na hela tu.
Hao cyber walifanya nini kwa kigogo+tiss enzi za maguu??

In short wanaweza kwa Malay man Wa technologia, Mimi nikiharibu kwa hapa bongo naamini huwezi kunitrack via local technology Abadan
 
Hao cyber walifanya nini kwa kigogo+tiss enzi za maguu??

In short wanaweza kwa Malay man Wa technologia, Mimi nikiharibu kwa hapa bongo naamini huwezi kunitrack via local technology Abadan
Endelea kujidanganya alafu kigogo yupo nje cyper wanatumia mitambo ya ndani vtu vingne usitumie akili kubwa sana kuwaza alafu kigogo sio level zako za

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
wacha malalamiko na ujuaji mkuu,hiyo ni sheria iliyotungwa na bunge lako wao wasimamizi tu.

ili mtu ahesabike amepotea mpaka masaa hayo yapite kisheria,hiyo ni taarifa itafunguliwa na kuwekwa ktk rekodi kisha zoezi la utafutaji kwa kuwasiliana na vituo vingine huanza.

kama ni sheria za kimakalio basi lenye makosa ni bunge sio polisi,
sheria ambazo zinataka hata polisi wakushike bega wakikusomea tuhuma wakija kukamata mtuhumiwa wa mauaji ni mwendelezo wake huo.
 
tuombe Mungu uwe umepata mkwe tu ila sio mengineyo,japo kihuni lakini ni heri zaidi.
 
Alitoroshwa au alijipeleka mkuu??
Mmemchukua??
 
Hao cyber walifanya nini kwa kigogo+tiss enzi za maguu??

In short wanaweza kwa Malay man Wa technologia, Mimi nikiharibu kwa hapa bongo naamini huwezi kunitrack via local technology Abadan
Kwenye mambo ya technology unaweza ukawa vizuri ila kuna makosa ya kibinadamu unakamatwa vizuri sana, kwa ujumla sisi watu wa teknolojia wa dunia ya huku ni watumiaji tu kama makalani, hata utumie chain VPN zaidi ya 70+ kwa muda mmoja za kulipia.
pia kama saivi unafanya kosa umelindaje taarifa zako hayo yanaweza yakawa ni makosa ya kibinadamu ukapelekea kukamatwa.

Kama kuna mmoja anasema atazima simu 🤣🤣😂 eti washindwe Kim - track, wakati kuzima simu ni kupumzisha display tu, ila component za simu zinafanya kazi ndio maana hata battery 🔋 inaisha, ukiweka alarm ⏰ itaita, na unakamatwa ukiwa na simu yako imezima.
Labda hujui kuwa kuna mgogoro wa campuni fulani ya Israel imeuza program ya kudukua WhatsApp ila huku unaambiwa WhatsApp is end to end. Technologia inakuwa kwa kasi sana
 
Swadakta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…