Binti mtoro wa shule baba yake alimfunza funzo wala si kwa fimbo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Huyu binti ni mtoro wa shule, baba yake ilibidi awe ana mburuza shuleni. Siku hii baba akiwa amechoka aliamua kuvaa gauni la mkewe na kumpeleka mtoto shuleni.

Mtoto akilia kwa fedheha aliyoifanya baba yake. Baba alimwambia alirudia tena utoro tukio hili litajirudia.

 
Ila yahitaji Moyo.
Kibongobongo mwanaume ukionekana umevaa gauni........
 
Jamaa katumia brain, hekima na busara inaleta matokeo mazuri kwa baadae hata kama Ina fedhea ndani yake.
Mkuu, ebu nendha uktafakari upya, Kisha uje uandike tena...😅😂
 
kwa siku ya kwanza ni sawa amefanikisha lakini kaacha damage kwenye maisha ya mtoto (physocologically) kwani itamfanya ataniwe kila siku na inaweza sababisha agome kwenda shule mazima.
 
... hiyo ilikuwa psychological torture mbaya sana kwa hicho kibinti. Kilirudia tena utoro?
 
Huku wanasema waache tu wazae, shame upon us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…