Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Huyu binti ni mtoro wa shule, baba yake ilibidi awe ana mburuza shuleni. Siku hii baba akiwa amechoka aliamua kuvaa gauni la mkewe na kumpeleka mtoto shuleni.
Mtoto akilia kwa fedheha aliyoifanya baba yake. Baba alimwambia alirudia tena utoro tukio hili litajirudia.
Mtoto akilia kwa fedheha aliyoifanya baba yake. Baba alimwambia alirudia tena utoro tukio hili litajirudia.