Binti mtoro wa shule baba yake alimfunza funzo wala si kwa fimbo

Binti mtoro wa shule baba yake alimfunza funzo wala si kwa fimbo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Huyu binti ni mtoro wa shule, baba yake ilibidi awe ana mburuza shuleni. Siku hii baba akiwa amechoka aliamua kuvaa gauni la mkewe na kumpeleka mtoto shuleni.

Mtoto akilia kwa fedheha aliyoifanya baba yake. Baba alimwambia alirudia tena utoro tukio hili litajirudia.

1639520462289.png
 
Ila yahitaji Moyo.
Kibongobongo mwanaume ukionekana umevaa gauni........
 
kwa siku ya kwanza ni sawa amefanikisha lakini kaacha damage kwenye maisha ya mtoto (physocologically) kwani itamfanya ataniwe kila siku na inaweza sababisha agome kwenda shule mazima.
 
... hiyo ilikuwa psychological torture mbaya sana kwa hicho kibinti. Kilirudia tena utoro?
 
Back
Top Bottom