nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Nimesoma mahalI kuwa alienda date mliman city...huyo mtu walijuana Facebook na ndo mara ya kwanza kwenda kumeet...jamani blind date sio nzurii mabinti....nna shoga yangu anapenda sana blind date ...anatamaa
Nahisi hivyo lo utamuuaje mtu hajakukosea, ,itakua hayo mambo ya kishirikina
Sasa blind date hata kama ni mshirikina...kulikuwa na sababu gani ya kurusha picha mtandaoni...
Huyu blind date atakuwa katumwa...uchunguzi wa kina ufanywe...
leo hakuna kulala, tunaisubiri Sista !Haya wait a min
Nimeona picha FB hatariii..
Jamani nyie mabinti mnamkubalije mtu thru FB...
Story zote tunazoweka humu hamjifunzi tu?
Wasichana wengi duniani wamekufa sababu ya matumizi mabaya ya FB...hasa Nigeria...ukute jamaa mnaijeria (hawezi kuwa m Tz)
Katoto ka miaka mingapi??
Najitahidi inagoma...sijui wanaizuia
Hapanaa siangalii loo
Ushaona mateke ya wajeshi? Amekasukuma toka kwenye kochi kakafikia USO, akakapiga mateke mwilini kama mjeshi anavyopiga bila kujali eneo, akakakanyaga mgongoni kwa nguvu akakatolea nje huko nahisi alikarusha Kama jiwe manake hapo video haionyeshi. Yule Mwanamke si binadamu ni pepo mtu
Sio hii mkuu ni huyo wa kuuwawa bagamoyo