Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Khaah ! Masikini dicompose body !! muombe Marehemu ... na wafiwa wa himili msiba mkubwa huu 11 days na bado kuzikwa!! Mungu amlae pema na amani.aminaSio hii mkuu ni huyo wa kuuwawa bagamoyo
Video imerushwa hapa. Mimi niomba picha za marehemu ila huyu mleta video ya mtoto hajanielewa. Me naogopa kuangalia video ya unyama huuMmmhhh alikua ana hasira na nini huyu au ndo zombie labda,,,hasira gani upige malaika hajui baya wala jema,,kakung'utwa safi sanaaaaa
Video imerushwa hapa. Mimi niomba picha za marehemu ila huyu mleta video ya mtoto hajanielewa. Me naogopa kuangalia video ya unyama huu
Aiseeee nimelia ,,,huyu binti angenyongwaa,,na inaonyesha hua anampiga sana mtoto ,kupiga gani gani hukoo
Kwenye picha ni baba. Naskia baba MTU amempa kichapo km si kuzuiwa saa hizi binti angekuwa mavumbini. Ila yuko mahututi kwa kipigo anakula kwa mrija. Wanasubiri apone ajibu mashtaka
Kwenye picha ni baba. Naskia baba MTU amempa kichapo km si kuzuiwa saa hizi binti angekuwa mavumbini. Ila yuko mahututi kwa kipigo anakula kwa mrija. Wanasubiri apone ajibu mashtaka
Najuta kuangalia hii video inabidi tuwe tunategesha camera,,chakula cha mtoto anakila
Bora ale chakula cha mtoto lakini sio kumpiga vilee
Beki tatu ni shidaNajuta kuangalia hii video inabidi tuwe tunategesha camera,,chakula cha mtoto anakila
Bora ale chakula cha mtoto lakini sio kumpiga vilee
Yap ni huyu huyu bintii
Ahsante nimeona, jamani wanaume mna roho mbayaaa
Si hao waliowaua hawa mabinti itakua ni hao tu wanaume
Rip dear wanze sote tuko nyuma yako
Maskini watu wengine wanatafuta kafara za mizimu yao ya kishirikina so wanatumia hizi blinf date kupata vifaa. Ukute mganga aliwatuma mav..uzi ya demu sasa unadhani utayapataje? Au mtu ametumwa gspot unadhani bila blind date ataipata? Wanawake kuweni makini dunia imevaa bikini hii ohooo