Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
Huyu Jack alikuwa muathirika na alijiunga na CLOUDS FM kwenye kipindi cha njiapanda ila alikuwa mjanja mjanja mno. imeongelewa kirefu kwenye kipindi cha njiapanda cha 30.11.2014
Asante Muke ya Mwarabu.Wawili wameshapatikana juzi na bado wanahojiwa.subirini taarifa baada ya upelelezi
namba aliyokua anatumia marehemu Ashura then kuanzia hapo tutapata details za kutosha.Namba ipi ya nanii??
Kwa hiyo ni watu wa sembe ndo wamemwaua. Inawezekana asee, watu wa sembe wana roho mbaya sana, si unaona mexico wanvyoteka na kuuwa, alafu wana tamaa na vidosho sana watu wa sembe, kisa jeuri ya ela za sembe...
huyu ni mtu amabye marehemu ashura aliweka profile picture yake, na akaweka comment hii (hv wew huwa huna kazi ya kufanya sitaji jibizana nawe sawa mbona shuhuri unayo yako yasha kuishia hebu pita kule basi dume kaa jike toooh
akijibu mu anaejiita Pedro )
Wawili wameshapatikana juzi na bado wanahojiwa.subirini taarifa baada ya upelelezi
Ni kweli nimeona ITV,Kova amesema wauaji wa wasichana wawili wanze na Jack wameshapatikana na wamekiri wao ndio waliowaua.
Wawili wameshapatikana juzi na bado wanahojiwa.subirini taarifa baada ya upelelezi