Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

Wala hauhitaji kuwa na mambo mengi mkuu, cha kufanya muite aje getho kuchukua hiyo pesa and then tengeneza mazingira ya kula Mbususu ipasavyo na baada ya hapo ndo umpatie hiyo pesa

Akikataa kutoa mbususu, ataondoka kama alivyokuja
 
Huyo Anataka Kukuuzia kwa Laki, tengeneza Mazingira Ya Kumpelekea moto....then Mpe 100,000 yake ubaya ubaya tuu.

Ukimpa hiv iv anaweza kukuona Mzembe...Hana nia na wew Huyo Malaya ndoo Maana Hakuonei Haya kuomba hela wakat anajua unamtaka.

Wala haogopi kua ataonekana ana tamaa
 
Sasa nikimpa sasahivi itaitwaje wakati hajagongwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaendelea kumpa na kumpa bila kumgonga mpaka ushindwe kumpa tena.

Kuomba hela ni moja wapo ya njia wanayotumia kuwakimbiza wanaume wasiowapenda.

Ukitoka nduki sababu ya kizinga, dhamira yake itakuwa imetimia ya kukukimbiza ila ukimpa hiyo hela inakuwa ni ushindi kwake na hutolipwa tena.
 
Proxyy wewe unatoka wapi? wewe bado uko ktk mapenzi hakuna kitu bure ,bure kafaa zamani unataka kuogolea kila bahari utaziweza kila bahari ina mawimbi yake ,kama umeamua kumsaidia msaidie tu na hiyo ndio test yako ya kwanza.
 
Ukimpa ujue umetoa sadaka.
 
Kama Ela unayo, na hicho kiasi Kiko ndani ya uwezo wako, Wewe mpe tuu,
Ila kwasababu ushamtongoza usiwe na mategemeo Sana ya kurudishiwa iyo pesa[emoji4]
 
Juzi nilienda kwake ,alikataa nisiingie ndani kwa kuwa kwenye hiyo nyumba ataihama ndani ya siku hizi mbili, pia anadai nimpe pesa amalize mambo yake halafu ndio tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee nae unakiraru raru mno

Mambo gani aya ya kutaka kuingia ingia ovyo kwenye mageto ya wanawake,

Utakuja kukutwa na Wanaume wenzio wanaokipia Kodi hapo ule Shaba ya KICHWA wewe.

Mwanamke mpya msojuana kwa kina Ni bora mkakutane uko lodge au bar
(ata kwako asije)
 
Kama moyo wako umeruhusu kumpa mpe tu lakini usiiwazie, kama moyo umegoma, achana nae mwambie tu huna.
Kumpata mwanamke hakunaga formula kila mtu anatumia njia zake.. unaweza toa pesa ukampata, unaweza usitoe ukampata pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…