NIPO TAYARI KUSHAMBULIWA.
WANAUME TUNAFELI SANA. TUNAENDELEA KUHANGAIKA NA UTANDO HUKU TUKIMKIMBIA BUIBUI.
Hii vita ikipiganwa na wanaume badala ya wanawake ni nyepesi mno. Imagine kila mwanamke anayejirahisisha akikutana na mwanaume anahojiwa kuhusu umalaya wake.
Tukitengeneza jamii ya vijana wenye ujasiri wa kumkanya mwanamke na kumwambia ACHA UMALAYA hili tatizo litapungua kwa kasi.
Imani kuwa kijana hana cha kupoteza ndo imetufikisha hapa, in long run wanaume ndo tunapoteza sababu mwanamke malaya huzaa malaya na tunamuhitaji mwanamke. Kama sio sasa basi baadae, kama sio wewe basi mwanao. Shubamiit, sijui kama wanaume tunaona umuhimu wa kupigana na umalaya. Ushoga, usingle mother, ufirauni woooote unaoujua wewe sababu ni mwanaume kukimbia jukumu la uongozi.
Idadi ya wanawake watiifu kwa wanaume inapungua, hakuna wanawake wa vijana wetu kuoa na kutunza watoto, tunaletewa wajukuu na wakwe wala shisha, kila kijana akitaka kuoa unakuta mwanamke tayari ana historia ya kuingiliwa, ana sijui X mara mtoto, hakuna option.
Wote tukiukataa umalaya, tukaupinga, tukawa na ujasiri wa kumwambia mwanamke anayejirahisisha ACHA UMALAYA, hili tatizo litapungua mno. Hii vita inapaswa kupiganwa na wanaume.
MWANAUME NI KIONGOZI WA JAMII.