Binti, usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa

Binti, usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa

Bikra anayo? Kama hana anabana cha nini shenxuui atoe tuu kiliwe bikra ndo anapaswa ajidai wengine huu uzi hauwahusu
 
"Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"
View attachment 3163773
Wanaume tusitowe fedha kwa mwanamke ambaye hujamuowa atakuwa ana kufanya kama chuma ulete.
 
Back
Top Bottom