Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Na kijana wa kiume usikubali kugharamia mtoto wa kike mpaka ndoa na hata akitaka kitu cha tshs mia mwambie asubirie ndoa."Binti usikubali kumView attachment 3163773pa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"
si hawa vijana wanasemaga utakibana hadi kitaliwa na nyenyere"Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"View attachment 3163773
Ccm wanafki sanasi hawa vijana wanasemaga utakibana hadi kitaliwa na nyenyere
hata hivyo,
zama za kunyimana sililishapita, ukinyimwa badili namna ya uombaji utapewa tu π
vibaraka chadema wana mihemko na chuki binafsi sana gentleman πCcm wanafki sana
Au sio ππππππ½ββοΈMbunye zitachacha, acheni wazigawe zibomolewe.
Kabisa mkuu πππ₯π―β βBinti mwenye bikra ndio unamfaa huu uzi. π
Kutolewa bikra wakati hauko kwenye ndoa huo ni usaliti hali ya juu. Umemsaliti ambaye angekuoa. π
"Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"m
Yaani amnyime mume mtarajiwa lakini aendelee kugawa kwa wahuni! Bora ungesema binti usikubali bikra yako iliwe na asiye mumeo.Hapo ningekuelewa.
Uwongo huoo,huo ni uwongo bhana πππUkinunua shati dukani ni haki yako kulijaribu kabla hujalichukuwa. Hasa wale wanaotolewa mahari.
ππΎππΎππΎNIPO TAYARI KUSHAMBULIWA.
WANAUME TUNAFELI SANA. TUNAENDELEA KUHANGAIKA NA UTANDO HUKU TUKIMKIMBIA BUIBUI.
Hii vita ikipiganwa na wanaume badala ya wanawake ni nyepesi mno. Imagine kila mwanamke anayejirahisisha akikutana na mwanaume anahojiwa kuhusu umalaya wake.
Tukitengeneza jamii ya vijana wenye ujasiri wa kumkanya mwanamke na kumwambia ACHA UMALAYA hili tatizo litapungua kwa kasi.
Imani kuwa kijana hana cha kupoteza ndo imetufikisha hapa, in long run wanaume ndo tunapoteza sababu mwanamke malaya huzaa malaya na tunamuhitaji mwanamke. Kama sio sasa basi baadae, kama sio wewe basi mwanao. Shubamiit, sijui kama wanaume tunaona umuhimu wa kupigana na umalaya. Ushoga, usingle mother, ufirauni woooote unaoujua wewe sababu ni mwanaume kukimbia jukumu la uongozi.
Idadi ya wanawake watiifu kwa wanaume inapungua, hakuna wanawake wa vijana wetu kuoa na kutunza watoto, tunaletewa wajukuu na wakwe wala shisha, kila kijana akitaka kuoa unakuta mwanamke tayari ana historia ya kuingiliwa, ana sijui X mara mtoto, hakuna option.
Wote tukiukataa umalaya, tukaupinga, tukawa na ujasiri wa kumwambia mwanamke anayejirahisisha ACHA UMALAYA, hili tatizo litapungua mno. Hii vita inapaswa kupiganwa na wanaume.
MWANAUME NI KIONGOZI WA JAMII.
Uyo binti unaemwambia asitoe, mwambie kuna wenzie. Asipotoa wenzie wanatoa tunda na linaliwa kiroho saaaaaafi kabisa"Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"View attachment 3163773