Binti, usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa

Marinda ndo tu wanayaombea sembuse hiyo bikra...hizo wanavunjwaga mapema sana waoto wa siku hizi..tena na vibabu.
 
Huu uzi unawalenga wanawake mabikra sio hawa maharage ya mbeya unachukua no muda huo huo anauliza tunakutana gesti gani
 
🤣🤣 wanasoma taratibu hawataki hata kukomenti maana wanajua kabisa hawawezi,hawataki,ndoa kupatikana sio rahisi na wanajua bila kukitoa kuonjwa ni hapana mwisho hawawezi kuukabili upwiru!
 
🤣🤣 wanasoma taratibu hawataki hata kukomenti maana wanajua kabisa hawawezi,hawataki,ndoa kupatikana sio rahisi na wanajua bila kukitoa kuonjwa ni hapana mwisho hawawezi kuukabili upwiru!
Au sio 😂😂
 
Uko wapi
 
"Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa...
Mkuu,
Ujue na wao wanapataga nyeg.€
Wakifuata ushauri wako, maana yake binti akizidiwa upwiru aende kutolewa maji na mwamba mwingine, ukigundua si uchumba utaota mbawa?

Pia wewe mwanaume ukizidiwa unaenda kutindua kwa mwingine, ukinogewa huko hurudi.

Utawaponza broo
 
Tafadhali mkuu lazima tuwapime oilu kabla hatujawaoa. Jiheshimu mkuu
 
Wape na plan B ya kuikabili nature ya upwiru.

Pia wape mbinu ya kupata ndoa na high value man wenye maisha bila kutoka tendo.


Mabinti wanataka mume mwenye maisha na status kama mc Gara B, uhalisia Mc garab kazalisha kwanza ndio kaoa


Mabinti wanataka mume kama katokisha. Uhalisia katokisha kazalisha watoto wawili kwanza ndio kaoa.

Sasa hao wanaume wenye status ambayo watawaoa bila kuwapq tendo wanapatikana wapi ?


Waelekeze mabinti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…