"Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"
View attachment 3163773