Waislam tunakuja juu kwa kasi hapa duniani, na balon dor mwaka huu Inabebwa na mwislam kwa Mara ya Kwanza, mwamedi salaha jiandae kubeba baloni Doo sioni wa kukusumbua hapo
Bado sio kigezo, mugabe alimzidi mke wake miaka 45Umriii
Account imevamiwa hiyo, post duni kama hiyo haiwezi kuwa ya Faiza Foxykwa hiyo waislam mnasherehekea muislam kuamuoa mtoto wa tajiri???
Niliwahi kuleta habari humu, hii: Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam
Sasa yamekuwa kweli...
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Sasa kuolewa ni kitu gani ?! Wanawake bhuuaana daahh .Niliwahi kuleta habari humu, hii: Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam
Sasa yamekuwa kweli...
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
huyo jamaa ni zwazwa kitambo labda humjui tu.Account imevamiwa hiyo, post duni kama hiyo haiwezi kuwa ya Faiza Foxy
Nimecheka 🙂huyo jamaa ni zwazwa kitambo labda humjui tu.
kwanza sio mwanamke kama wengi wanavyozani.
Wamarekani wengi hawaamini kama kuna Mungu.Huyu Billgates kama kweli wanayosema kuhusu Corona, basi si Mkristo kweli bali amebeba jina tu la ukristo, na sijui kama huwa anaenda kanisani.
Hiki kitendo wala hakifaidishi kitu katika uislamu,ni jambo la kawaida sana.Niliwahi kuleta habari humu, hii: Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam
Sasa yamekuwa kweli...
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Nimkristo pure hayo mengine anayofanya ni business.Huyu Billgates kama kweli wanayosema kuhusu Corona, basi si Mkristo kweli bali amebeba jina tu la ukristo, na sijui kama huwa anaenda kanisani.
We unafaidikaje hapo ilalaUtakufa nacho, kijiba cha roho. Mtoto yupo Misr kwa sasa.