King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tatizo lako kubwa linaonesha huelewi maana ya dini ni nini. Huelewi maana ya Uarabu ni nini. Huelewi maana ya Uislam ni nini. Huelewi maana ya binti wa Bill Gates kuolewa na Muafrika Muislam ni ninoi.Dini tumeletewa na Waarabu na wamishionari kabla yao kuja huku kwetu tulikuwa na tamaduni zetu(imani)....Wewe mwenyewe wazazi wako walikuwa waislam na wewe ukaunga tela,ungezaliwa na wazazi wakristu napo ungeunga tela.
Kwani muislam hafai kuoa mkristu? Kuna wengine wakristu/waislam lakini hata mlango wa kanisa/msikiti hawajui umekaaje.
Hakuna lolote.Tatizo lako kubwa linaonesha huelewi maana ya dini ni nini. Huelewi maana ya Uarabu ni nini. Huelewi maana ya Uislam ni nini. Huelewi maana ya binti wa Bill Gates kuolewa na Muafrika Muislam ni ninoi.
Una mengi sana ya kujifunza, ikiwa tu utaondoa minyonyoro uliyofungwa nayo kwenye ubongo wako.
Utakufa nacho, kijiba cha roho. Mtoto yupo Misr kwa sasa.
Naam, hajakosea. Kariakoo tunasema kalamba dume. Unaijua wahed u sitin wewe?
Haha! Wajinga wengi sana nchi hiiWaislam tunakuja juu kwa kasi hapa duniani, na balon dor mwaka huu Inabebwa na mwislam kwa Mara ya Kwanza, mwamedi salaha jiandae kubeba baloni Doo sioni wa kukusumbua hapo
Za kupotea? Ni faraja kukusikia!Niliwahi kuleta habari humu, hii: Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam
Sasa yamekuwa kweli...
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Tatizo lako kubwa linaonesha huelewi maana ya dini ni nini. Huelewi maana ya Uarabu ni nini. Huelewi maana ya Uislam ni nini. Huelewi maana ya binti wa Bill Gates kuolewa na Muafrika Muislam ni ninoi.
Una mengi sana ya kujifunza, ikiwa tu utaondoa minyonyoro uliyofungwa nayo kwenye ubongo wako.
Yeye kuolewa kwa huyo bint umefaidika na nn?Kama kakosea njia kama wewe ndo ushangilie?(&Niliwahi kuleta habari humu, hii: Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam
Sasa yamekuwa kweli...
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Nilijua hauingii JF, kumbe umejificha huku!Niliwahi kuleta habari humu
Ngoja nimuulize Sheikh mwenzangu Alhad Bin Salum Bin Hamdun 👳 kama ana taarifa.Hongereni pilau litafinyiwa wapi?