Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Jmn mwenzenu Hoi taaban kwa NANDI. Ngepataga hata seconds chache tu za kuonana nae ngemwambia. Na ingetokea sasa ndo ananipa offer ya ata lisaa hv kiutu uzima uuuu uwiiiiiiii. Walahii makapuku tunaishi kwny ndoto ambazo wny pesa Wanazfanyia kaz na tukiona tunaishia kuumia tu.
Shikamoo pesa

Tatizo lako ni kujiamini tu
watu malofa kuliko wewe wanawapata hao warembo
 
Hao wote mliowataja, hawamfikii PV CAMBO hata robo.....
(kama humjui msearch)
 
Duuuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbeee?!! Mwenye kanamba ka NANDI jmn nijitose

Ukijiamini huyo Nandy atakubabaikia wewe

Muangalie Chidi Benz..teja tu
but akipata nafuu anakamata warembo wakali usio watazamia
 
Jmn mwenzenu Hoi taaban kwa NANDI. Ngepataga hata seconds chache tu za kuonana nae ngemwambia. Na ingetokea sasa ndo ananipa offer ya ata lisaa hv kiutu uzima uuuu uwiiiiiiii. Walahii makapuku tunaishi kwny ndoto ambazo wny pesa Wanazfanyia kaz na tukiona tunaishia kuumia tu.
Shikamoo pesa
ndoto za kuzini au ndoto zipi zingine?
 
Ukijiamini huyo Nandy atakubabaikia wewe

Muangalie Chidi Benz..teja tu
but akipata nafuu anakamata warembo wakali usio watazamia
Ila mkuu chid Benz tyr Ana status yke. Tatzo la wanawake wanapenda sana mwanaume mwny status flan au la awe na pesa ilimrad tu vishda vyake Iwe ktonga. Najiamin sana kwny kumwaga sera ila issue n apo tu
 
Zari gan au unamwongelea yule mama mwenye watoto saba anayegombea urithi huko uganda au ni mwingine
 
Ila mkuu chid Benz tyr Ana status yke. Tatzo la wanawake wanapenda sana mwanaume mwny status flan au la awe na pesa ilimrad tu vishda vyake Iwe ktonga. Najiamin sana kwny kumwaga sera ila issue n apo tu

Chidi ni teja tu chokoraa now
hana hata shilingi sema ana 'cockiness ' hivi ambayo ukiwa nayo kila mwanamke
utamuona easy kwako...

watakuwa kama mbwa mbele ya chatu....
 
Back
Top Bottom