Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

Ulipaswa wewe ndio umpe hiyo Mimba
 
Mimi ni mfanyabiashara,ndio maana nawashangaa wanaodai jamaa anaumia kwakuwa hajatia yeye mimba
Nakosa hata cha kuwajibu, Ni wazi kabisa hawana elimu wala ujuzi wa biashara,

Huwezi kuchanganyi biashara na mapenzi,
 
Tafuta mwingine,huyo kesharidhika na maisha. Mzigo wa kulea mimba ataubeba aliyempa
 
Imagine huyo Ni mkeo je ataweza kuendeleza na Kaz akiwa na ujauzito ? Kama jibu Ni ndio bas fanya maamuzi kulingana unavyo mtreat mkeo
 
Akimwambia kuwa muda Fulani Ataacha kazi anatafuta kuibiwa huyu sio mzungu ni mwafrika uaminifu na roho mbaya ni Pete na kidole akimwambia kuwa hamtaki asimruhusu Tena kuingia kazini
aaah ila hapa kweli bora akausge tu kwanza asimwambie aisee mbongo hana imaNi
 
Pia tusisahau mimba ikiwa changa inaambatana na makasiriko na drama nyingi kwa baadhi ya wanawake..
Anaweza akawa wa kununanuna,kisirani,nongwa
Anaweza akawa allergic na baadhi ya vitu kama perfume,
Anaweza kumchukia mteja from nowhere,
Anaweza akawa mgonjwa mgonjwa mara nyingi,
Anataka alalelale wakati wote
 
anaweza kabisa,mimba sio issue kabisa,ongea nae vizuri atakuwa na shida nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…