usafiri kutoka uwanja wa ndege wa GENEVA unaweza kutumia tax, basi la abiria ama train., station ya underground train (Train ya chini) ya GENEVA AIRPORT STATION ipo umbali mchache kutoka uwanja wa ndege haizidi nusu saa kwa bus au dk15 kwa tax kupafikia na ukakwaa treni safi na bora kabisa ya chini ya ardhi na station kubwa ya train ipo hapa mitaa ya Cornavin karibu na nilipokuja kuchukua chakula hiki cha bure inaitwa Gare Cornavin Train station na ni umbali mchache mpaka hapo uwanja wa ndege.ndugu naomba nikuulize tena baada ya kunijibu swali langu la kwanza na nimefahamu kumbe tunapishana lisaa limoja tu kwa mda na huko , usafiri mkuu wa kutoka uwanja wa ndege wa Geneva ni upi? na kuna umbali gani mpaka ubalozi wa Tanzania nchini switzerland kutoka uwanjani hapo? na ubalozi wetu huko wapi, GENEVA au ZURICH kwa nchini humo?
Ndo utuambie izo site mkuumkuu hili suala lako ni zito sana kutoa namba ya mtu bila ridhaa yake ni jambo gumu na hawa wazungu sio kama wabongo inaweza kuleta mambo mengine kabisa huwezi kucheki kwenye site za kiswisi mkuu ukaanzan nao mwenyewe?
amezitoa humu pitia ila sio za bure zinahitaji malipo
nakuonea wivu sana mkuu, kula maisha ndugu yangu ngoja nijipange kuna siku nitawaachia serikali ajira yao nijichanganye hukousafiri kutoka uwanja wa ndege wa GENEVA unaweza kutumia tax, basi la abiria ama train., station ya underground train (Train ya chini) ya GENEVA AIRPORT STATION ipo umbali mchache kutoka uwanja wa ndege haizidi nusu saa kwa bus au dk15 kwa tax kupafikia na ukakwaa treni safi na bora kabisa ya chini ya ardhi na station kubwa ya train ipo hapa mitaa ya Cornavin karibu na nilipokuja kuchukua chakula hiki cha bure inaitwa Gare Cornavin Train station na ni umbali mchache mpaka hapo uwanja wa ndege.
Ubalozi wa Tanzania kwa umbali siwezi kujua sawasawa lakini haizidi 10km kutoka airport ya Geneva na ukitumia train ni chini ya dk 10 utakuwa umefika inategemea na route uliyopita na train uliyopanda, kwa basi utatumia mda usiozidi lisaa limoja au tax nusu saa
Makao makuu ya ubalozi wa Tanzania yapo hapa Geneva mkuu, nadhani mtaa wa Avenue blanc kama kumbukumbu zangu bado ziko sawa ni mda kidogo sijafika hapo.
Wewe ni mtu mzima kweli au ndo unaianza foolish age ?Aliyekwambia Switzerland [emoji1237] ni mbinguni nani!?kila uzi lazima useme upo Switzerland [emoji1237] mwanamke malaya wewe Parabora
Sent using IPhone X
Ukaingia mitiniMkuu nasubiri mawasiliano yako PM ili tuwasiliane na kutembeleana Kama uko hapa jijini
Nachanganyaje mambo mzeeMkuu ni mji wa zamani kweli lakini bado unatambulika labda Kuna mambo umechanganya
Kampuni ganiujuzi ninao mwingi tu na nautumia huku kwenye makampuni makubwa ya kimataifa, pamoja na hayo maisha mengine lazma yaendelee
Nini hicho mkuu, ? Au ulikuwa unawasiliana na mwingine siyo Mimi?amezitoa humu pitia ila sio za bure zinahitaji malipo
hizo site unazoulizia nduguNini hicho mkuu, ? Au ulikuwa unawasiliana na mwingine siyo Mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app