Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
Elimu sio biashara mkuu, ni karama tu ile! Usipige hesabu zako za kihasibuKwa mfano... Gharama za masomo ml 200... Kipato atacho ingiza adi ana fariki ml 20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi na wewe waje wakuhoji,wakurushe kwenye youtube.Mm nna shahada ya uchumi-Mlimani na nimechoma mkaa na kuuza kuni.
Can u imagine
Mtaji ni neno pana katika nyanja za ujasiriamali,mtaji ni wazo/mawazo ya biashara/shughuri,nguvu,pesa nk,lakini lazima tukubali vijana walio wengi wa kimasikini hushindwa kuanzisha biashata kwa sababu ya mtaji pesaZamani sanaaa nilikuwa namawazo kama haya. Kwamba mtaji ni tatizo... Lakini huyo MTU anayelalamika mtaji hata ukimuuliza anataka mtaji kiasi gani hajui, na mtaji anataka ili aanzishe biashara gani ataanza kujing'ata tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa garama za uzalishaji na uendeshaji,kitakachobaki ndio anatakiwa ajilipe pamoja na kulipa mishahara.Kwasiku laki2, kwa mwezi anapata Milion 6, sasa mwenye hiyo degree akiajiriwa anaweza kufikia mshahara wenye kiwango hiki???
Sent using unknown device
Mtaji ni Akili,wazo la biashara ulilonalo kichwani,pia waweza anza na mtaji mdogo,kidogo kidogo huku uki_focus kukuza unachokifanya.Mimi nna degree ya SAUT nachoma mahindi hapa darajani hapa Mbeya.Huyo hafanyi biashara anajitangaza,tupo wengi huku tunatokea kwenye familia maskini mnoooo nadhani ndiyo maana hamtutangazi.....HAKUNA MTU HAPENDI KUFANYA KAZI,HAKUNA MTU ANAPENDA KULA BURE,SHIDA NI MTAJI NA KUPATA KAZI YENYEWE.
Hahaa ", badamu bata mwagikaNGOJA NAMI NICHANGIE KIDOGO...
Tusipende sana wasomi kufanya mambo tofauti na carrier zao...
AFRIKA NI MASIKINI KWA SABABU WASOMI WENGI HAWAFANYI VILE WALIVYOSOMEA.. UNAKUTA KASOMEA IT LKN ANAUZA NGUO...
TUKUBALI KUWA TUMEPOTEA....
KAMA ALISOMEA UJASIRIAMALI BASI AMEPATIA SANA NA ANAFANYA KILE AMBACHO ANAPASWA KUFANYA ILA KAMA KASOMEA TOFAUTI NA HAPO YUKO WRONG NA HII NI KWA SABABU YA UMASIKINI WETU.
WASOMI WETU WAANGALIWE VIZURI NA KAMA NCHI LAZIMA TUWE NA SERA MADHUBUTI ZA KUWAWEZESHA HAWA WASOMI... TUSICHEKELEE UPUUZI HUU.. MTU KATUMIA GHARAMA KUBWA AFU ETI UNAMSIFIA KUUZA KANDE?? SI BORA ANGEANZA KUUZA TANGIA ZAMANI?? HAKUNA MWENYE KUSOMA AKAWAZA HAYO MAMBO.. ALWAYS HUTOKEA MARA BAADA YA KUSHINDWA KWA SERA ZETU ZA KUIINUA WASOMI WETU...
NCHI YA HOVYO SANA HII.. NA NI AIBU KWA TAIFA KWA WATU KUFANYA VITU AMBAVYO HAWANA UTAALAMU NAVYO..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mimi nikikupa idea ambayo inahitaji letsay 2mil ika return ikawa kubwa can you support au letsay ya mil mojaYes kwa sababu amefanya kile ambacho kiko nje ya levo zako za kuwaza. Nikuambia leta wazo lako hapa kama haitakuwa MPESA basi itakuwa Baaa au Saloon au Duka la Hard ware au kuuza Nguo za kike na za watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes kwa sababu amefanya kile ambacho kiko nje ya levo zako za kuwaza. Nikuambia leta wazo lako hapa kama haitakuwa MPESA basi itakuwa Baaa au Saloon au Duka la Hard ware au kuuza Nguo za kike na za watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kama hana mtaji mshauri akaibe,mimi nime_suggest njia ya kuufikia mtaji,na sio lazima atumie hiyo,kwa lengo la kujenga shauri wewe watu watapataje mitaji?Pole kwa ujinga, huu ushujaa wa mtandaoni utawaua.
Kwa maisha haya unategemea mtaji akuletee nani kama sio unatakiwa utafute kwa nguvu zakoKiukweli umeongea point ya maana lakin walio wengi humu Kwa unafki wao hatokosa sababu ya kupinga hoja yako ila kiukweli mitaji ndio inawakwamisha sana vijana katika kufikia malengo
Wengi wenu mnafikiri marekani ni mbinguni ila kwa mtu aliekulia huku akaenda marekani kwa kuukimbia umasikini huku basi ni sawa na kuyakimbia majivu ya moto na kujiyumbukiza kwenye mafuta ya kukaangia chipsYaani kwangu mtu yoyote aliefika kusoma au kuishi marekani au nchi za ulaya,halafu akarudi huku analialia habari za hela huo ni upopoma mkubwa,hata huyo anaeuza kande wakati amesoma marekani/kuishi marekani ni mpumbavu wa hali ya juu,siwatanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nigeria kua na degree ni kama kua na cheti cha lasabaKuna jamaa alikataa mshahara wa USA akarudi bongo akafungua ofisi mwaka jana ofisi yake ikashirikia shindano ikashinda zaidi ya 200M.
Huyu dada, Degree na Master ya Nje. Anauza makande.
Mimi sidhani kama mtu kufanya biz ya chini inatakiwa ihesabiwe kama inspiration kwa job seeker. Alitakiwa atuonyeshe tofauti yake kama huyo jamaa aliyekataa ule mshahara.
Hapa Tz tayari tuna degree holder anauza uji mwingine anauza mihogo. Yaani ni kwamba degree na master ya nje imewaza sawasawa na degree ya bongo jua kali.