Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Mnaomkandia huyo binti hamsemi mnafanya nini kwa sasa. Badala ya kujifanyia self-introspection ya wapi ulipo na wapi unataka kwenda unahangaika na Dada wa makande. Kama si uboya ni nini. Dada kaamua kuuza makande wewe kinakuuma nini. Huu ushamba utaisha lini? Tuambie wewe unafanya nini sasa kabla hujamkosoa huyu dada.
 
Mnaomkandia huyo binti hamsemi mnafanya nini kwa sasa. Badala ya kujifanyia self-introspection ya wapi ulipo na wapi unataka kwenda unahangaika na Dada wa makande. Kama si uboya ni nini. Dada kaamua kuuza makande wewe kinakuuma nini. Huu ushamba utaisha lini? Tuambie wewe unafanya nini sasa kabla hujamkosoa huyu dada. Hizi tabia ni za kitoto.
 
Nikikutaga mada kama hizi huwa nashangaa sana ukizingatia wadada wanajishughulisha sana kuzi hata wanaume .
 
Zamani sanaaa nilikuwa namawazo kama haya. Kwamba mtaji ni tatizo... Lakini huyo MTU anayelalamika mtaji hata ukimuuliza anataka mtaji kiasi gani hajui, na mtaji anataka ili aanzishe biashara gani ataanza kujing'ata tu .


Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaji ni neno pana katika nyanja za ujasiriamali,mtaji ni wazo/mawazo ya biashara/shughuri,nguvu,pesa nk,lakini lazima tukubali vijana walio wengi wa kimasikini hushindwa kuanzisha biashata kwa sababu ya mtaji pesa
 
Hakuna kitu hapo,yaani nitoke America na master yangu nije na cheap idea kama hiii.Halafu unakuja kumsifia hapa?Hatua aliyofikia alitakiwa aje na project kubwa zakusaidia Taifa sio vijiajira uchwara hivi.Hakuna kitu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesoma hata ukawa profesa,ni ishu ya calculation tu,kipi kitaweza kukupa kipato toshelezi kwa mahitaji yako,kujiajiri au kuajiriwa?
Ishu sio kuajiriwa au kujiajiri,maslahi ndio pointi ya msingi,haswa yakiwa consistent,sio leo ishu inahela kesho loss,bt changamoto pia hazikosekani ndugu zangu..
Kuzishinda changamoto na Ubunifu kwenye miradi au Biashara ndio vinavyomtofautisha mfanyabiashara A na B..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nna degree ya SAUT nachoma mahindi hapa darajani hapa Mbeya.Huyo hafanyi biashara anajitangaza,tupo wengi huku tunatokea kwenye familia maskini mnoooo nadhani ndiyo maana hamtutangazi.....HAKUNA MTU HAPENDI KUFANYA KAZI,HAKUNA MTU ANAPENDA KULA BURE,SHIDA NI MTAJI NA KUPATA KAZI YENYEWE.
Mtaji ni Akili,wazo la biashara ulilonalo kichwani,pia waweza anza na mtaji mdogo,kidogo kidogo huku uki_focus kukuza unachokifanya.
Ila pia zipo biashara zisizohitaji mtaji kama udalali,uwe wa nyumba,bidhaa n.k,kikubwa tafuta majawabu ya ku_solve matatizo kuliko kulia lia na kujipa unyonge...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NGOJA NAMI NICHANGIE KIDOGO...
Tusipende sana wasomi kufanya mambo tofauti na carrier zao...
AFRIKA NI MASIKINI KWA SABABU WASOMI WENGI HAWAFANYI VILE WALIVYOSOMEA.. UNAKUTA KASOMEA IT LKN ANAUZA NGUO...
TUKUBALI KUWA TUMEPOTEA....
KAMA ALISOMEA UJASIRIAMALI BASI AMEPATIA SANA NA ANAFANYA KILE AMBACHO ANAPASWA KUFANYA ILA KAMA KASOMEA TOFAUTI NA HAPO YUKO WRONG NA HII NI KWA SABABU YA UMASIKINI WETU.
WASOMI WETU WAANGALIWE VIZURI NA KAMA NCHI LAZIMA TUWE NA SERA MADHUBUTI ZA KUWAWEZESHA HAWA WASOMI... TUSICHEKELEE UPUUZI HUU.. MTU KATUMIA GHARAMA KUBWA AFU ETI UNAMSIFIA KUUZA KANDE?? SI BORA ANGEANZA KUUZA TANGIA ZAMANI?? HAKUNA MWENYE KUSOMA AKAWAZA HAYO MAMBO.. ALWAYS HUTOKEA MARA BAADA YA KUSHINDWA KWA SERA ZETU ZA KUIINUA WASOMI WETU...
NCHI YA HOVYO SANA HII.. NA NI AIBU KWA TAIFA KWA WATU KUFANYA VITU AMBAVYO HAWANA UTAALAMU NAVYO..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa ", badamu bata mwagika
nc3j4Dc77LIQDq6WTYYqjg9EVJdeYrh6ugBoPlVCB1f1kGIo0IrZCSliXz5aHA7CXG6I%3Dw480-h270-nc.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNAJUA KUNA VITU VINGINE WATANZANIA TUNADANGANYANA SANA...
HIYO BIASHARA ANAIFANYA NA KUITEGEMEA AU BADO ANAISHI KWA WAZAZI WAKE NA HAKUNA ANAYEMUULIZA HATA HELA YA KULA, ANALIPA KODI YA NYUMBA NA PANGO KWA HIYO BIASHARA, ANA MTOT AU WATOTO ANASOMESHA KWA HIYO BIASHARA HANA BACKUP KABISA YA MATUMIZI KUTOKA KWENYE FAMILIA NA KWA 100% ANATEGEMEA HIYO BIASHARA?


UKISHASEMA FAMILIA MASIKINI UJARIBU NA KUFIKILIA CHANGAMOTO YA HIZO FAMILIA MASIKINI PIA.. MASIKINI AKIFANYA HIYO BIASHARA ATAHITAJI MTAJI AMBAO HANA, ATAHITAJI KUPATA MATUMIZI YAKE KUTOKA HAPO HAPO, ATAHITAJI KUSOMESHA NDUGU ZAKE NA KUSAIDIA JAMII YAKE MASIKINI..

TUACHENI KUKIMBIA MATATIZO KWA KUTAFUTA VISABU VYA KITOTO HIVI, UKWELI NI FAMILI NYINGI KUWA NA KIPATO DUNI SABABU YA MFUMO MBOVU USIO RAFIKI KWA WATU WAKE KUJIKWAMUA..
 
Ok
Yes kwa sababu amefanya kile ambacho kiko nje ya levo zako za kuwaza. Nikuambia leta wazo lako hapa kama haitakuwa MPESA basi itakuwa Baaa au Saloon au Duka la Hard ware au kuuza Nguo za kike na za watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mimi nikikupa idea ambayo inahitaji letsay 2mil ika return ikawa kubwa can you support au letsay ya mil moja
 
Kiukweli umeongea point ya maana lakin walio wengi humu Kwa unafki wao hatokosa sababu ya kupinga hoja yako ila kiukweli mitaji ndio inawakwamisha sana vijana katika kufikia malengo
Kwa maisha haya unategemea mtaji akuletee nani kama sio unatakiwa utafute kwa nguvu zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwangu mtu yoyote aliefika kusoma au kuishi marekani au nchi za ulaya,halafu akarudi huku analialia habari za hela huo ni upopoma mkubwa,hata huyo anaeuza kande wakati amesoma marekani/kuishi marekani ni mpumbavu wa hali ya juu,siwatanii

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wenu mnafikiri marekani ni mbinguni ila kwa mtu aliekulia huku akaenda marekani kwa kuukimbia umasikini huku basi ni sawa na kuyakimbia majivu ya moto na kujiyumbukiza kwenye mafuta ya kukaangia chips
 
Kuna jamaa alikataa mshahara wa USA akarudi bongo akafungua ofisi mwaka jana ofisi yake ikashirikia shindano ikashinda zaidi ya 200M.

Huyu dada, Degree na Master ya Nje. Anauza makande.

Mimi sidhani kama mtu kufanya biz ya chini inatakiwa ihesabiwe kama inspiration kwa job seeker. Alitakiwa atuonyeshe tofauti yake kama huyo jamaa aliyekataa ule mshahara.

Hapa Tz tayari tuna degree holder anauza uji mwingine anauza mihogo. Yaani ni kwamba degree na master ya nje imewaza sawasawa na degree ya bongo jua kali.
Nigeria kua na degree ni kama kua na cheti cha lasaba

Ni nchi ambazo elimu imekuja saa moja jioni ndio tunajithaminisha kwa kutumia elimu na vidato ila nchi nyingine hiyo ni kawaida sana, hivi ulishawahi kusikia mzungu anaitwa kwa elimu yake mfano Dr Williams, professor Mcdonald? Ni Africa tu elimu inakubatiza upya.
 
Back
Top Bottom