Ngoja nikupe kisa hiki, mnamo mwaka 2010 tulihitimu Chuo fani ya uhasibu ktk level ya degree. Tupo tuliofanikiwa kupata kazi mwaka huo huo pia wapo waliochelewa kupata ajira. Ktk kundi letu, mwenzetu moja alitushangaza Sana. Yeye hakujihangaisha kutafuta kazi. Huyu bwana alikua anaishi na baba ake mdogo, maisha yao yalikuwa magumu sana. Alicho tushangaza nikwamba badala ya kutafuta ajira alianza kufundisha tuition vitoto vidogo, tena alikuwa anafundishia upenuni mwa nyumba,Sijasema kwamba hatafanikiwa na wala simuombei asifanikiwe ninataka sana afanikiwe Mungu ni Mwema, BUT ni upuuzi kumsifia na kuona anafanya maajabu kwa kwa kuuza makande kwa elimu aliyonayo kwamba anafanya kitu extra ordinary out of this world..tunamuongelea mtu mwenye exposure ya international education, countries, cities and lifestyle, kashindwa kung’amua fursa zilizopo katika eneo lake alilo master tunamsifia miaka minne baadae kaamua kuuza makande, really??
sijakuambia kuwa huyu dada hatafanikiwa, usinielewe vibaya ila ni upuuzi kumpa sifa za kijinga, ana uwezo wa kufanya kubwa zaidi ya hilo...kwa kutumia mfano wako jamaa alitumia elimu aliyoipata kufungua fursa zaidi sasa mtu ana masters ya project management anakuja kushinda kupika makande hii nchi unadhani itaendelea kweli kama kila msomi akiwa mpika makande?rubbishNgoja nikupe kisa hiki, mnamo mwaka 2010 tulihitimu Chuo fani ya uhasibu ktk level ya degree. Tupo tuliofanikiwa kupata kazi mwaka huo huo pia wapo waliochelewa kupata ajira. Ktk kundi letu, mwenzetu moja alitushangaza Sana. Yeye hakujihangaisha kutafuta kazi. Huyu bwana alikua anaishi na baba ake mdogo, maisha yao yalikuwa magumu sana. Alicho tushangaza nikwamba badala ya kutafuta ajira alianza kufundisha tuition vitoto vidogo, tena alikuwa anafundishia upenuni mwa nyumba,
Hivisasa anamiliki English medium school yenye wanafunzi zaidi ya 400. Tuliokimbilia mishahara ya million tumebaki kapuku. Mchizi anamiliki nyumba ya gorofa na usafiri wa maana.
Unajuaje kama anampango wa kufungua kiwanda cha kusindika chakula? Hata mbuyu ulianza kama mchichasijakuambia kuwa huyu dada hatafanikiwa, usinielewe vibaya ila ni upuuzi kumpa sifa za kijinga, ana uwezo wa kufanya kubwa zaidi ya hilo...kwa kutumia mfano wako jamaa alitumia elimu aliyoipata kufungua fursa zaidi sasa mtu ana masters ya project management anakuja kushinda kupika makande hii nchi unadhani itaendelea kweli kama kila msomi akiwa mpika makande?rubbish
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Dr. Slaa alifagia na kupanga boxes supermarket Canada baadae akalamba Ubalozi Sweden? We veeeputakuta msomi ana degree anafuga kuku aibu sana
Wewe unajuaje?what's all the publicity for?amefanya kitu ambacho ni below ordinary kwa mtu wa elimu yake mnam praise kama hamna wajasiriamali wadogo wanauza zaidi ya plates 70~100 per day, kisa tuu kasoma marekani bado nina msimamo wangu kuwa ni upuuzi na wewe nancy kama unasoma nakuambia acha upuuzi taifa linahitaji wataalam/wasomi kama wewe jiongezeUnajuaje kama anampango wa kufungua kiwanda cha kusindika chakula? Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Mkuu nadhani hujanielewa.. nimesema kama amesomea ujasiriamali basi amepatia na anawaonesha watu namna ya kuwa mjasiriamali.. lkn kama amesomea IT afu amekuja kuuza KANDE ni ukweli kuwa maepotea na hasa ni kutokana na SERA za serikali yetu kutowatengenezea wasomi wetu mazingira mazuri ya kutumia taaluma zao kujenga taifa bora...Ulianza vizuri lakini na wewe ni chenga tu ka wengine wasioelewa.
Lazima ujue sifa za mjasiriamali na mweke huyo dada ndo utajua pumba uliyoandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikampima akili yake,nikaona anaongea utoto tu,nikaachana naeMkuu tumia akili yako vizuri,hapa duniani hakuna kazi inayodhalilisha ili mradi tu iwe halali,kama ni hvo basi tunaweza kusema kazi unayo ona haidhalilishi mm naweza kuiona ya ovyo na inadhalilisha hvo usiseme kuna kazi zinadhalilisha....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukinyoosha mwandiko nitakujibu,lakini kwa uozo tu wa huo mwandiko,najua na akili yako imekaa hivyo,siwezi kujibushana na weweMbona umekoaa na akaajiriwe kama wewe? Acha ujinga Dogo. Sio kila mtu ana waza kama wewe na usitake Yeye awaze vile unavyo waza wewe.
Wewe waza unavyo waza na yeye kawaza anavyo waza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nilichoelewa hapo ulichoandika. Andika kiswahili fasaha,nikuelewe nitakujibuwewe ndo Mpuuzi mkubwa sana, Umekoaa na Exposure mara Shiloprite.
uliraka afabye Zile biashara unazo zipenda?Ulitaka akufurahishe?
Au ulitaka aanzishe Duka la kuuza used Computer kutoka huko aliko kua?
Unasema ni Upuzi mwenzako anapiga pesa na huna namna ya kuweza kumfikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna utakacho jibu zaidi ya kusema kuna mtu unamjua yuko Sijui Italy anapiga kazi super MarketHakuna nilichoelewa hapo ulichoandika. Andika kiswahili fasaha,nikuelewe nitakujibu
Sent using Jamii Forums mobile app
KFC alianza kwa kuuza kuku pembeni mwa barabara.Wewe unajuaje?what's all the publicity for?amefanya kitu ambacho ni below ordinary kwa mtu wa elimu yake mnam praise kama hamna wajasiriamali wadogo wanauza zaidi ya plates 70~100 per day, kisa tuu kasoma marekani bado nina msimamo wangu kuwa ni upuuzi na wewe nancy kama unasoma nakuambia acha upuuzi taifa linahitaji wataalam/wasomi kama wewe jiongeze
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Jukwaa limejaa watu wenye uwezo mdogo sana. Nitaongea na na Mod atengeneze sub jukwaa humu waingie watu kama wewe.Kamanda upuuzi Sina, siku zote chukia katika Maisha yako kazi za kuajiliwa. Soma upate maarifa elimu yako ikusaidie ku perform life!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Story kama hizi humu hawatakuelewa Kiongozi. watu wana Gundi vichwani ni ngumu sana kukuelewa. wapigishie story za Alkiba au Diamond watakuelewa.Ngoja nikupe kisa hiki, mnamo mwaka 2010 tulihitimu Chuo fani ya uhasibu ktk level ya degree. Tupo tuliofanikiwa kupata kazi mwaka huo huo pia wapo waliochelewa kupata ajira. Ktk kundi letu, mwenzetu moja alitushangaza Sana. Yeye hakujihangaisha kutafuta kazi. Huyu bwana alikua anaishi na baba ake mdogo, maisha yao yalikuwa magumu sana. Alicho tushangaza nikwamba badala ya kutafuta ajira alianza kufundisha tuition vitoto vidogo, tena alikuwa anafundishia upenuni mwa nyumba,
Hivisasa anamiliki English medium school yenye wanafunzi zaidi ya 400. Tuliokimbilia mishahara ya million tumebaki kapuku. Mchizi anamiliki nyumba ya gorofa na usafiri wa maana.
Shida ni kwamba mnapondea huku anaingiza pesa. wewe hapo Kesho ukikutana na barua ndo mwisho wa ujanja. yeye hafanyii mwanaume kazi yoyote ile.Ha ha wakulima wanatetea muuza makande ambaye ana potential ya kufanya mambo makubwa kwa kutumia elimu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni hoja dhaifu sana.
Hizi habari ni uongo ulio tukukaHabari wadau...
Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong?
Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na masters university of Minnesota huko USA.
Baada ya kumaliza masomo yake akaamua kurudi nyumbani kujiajiri kwa kuuza makande kisasa na kwao ni mambo safi hasa hasa...
Nawaza tu why dada zetu maskini hawapendi kujishughulisha huku washua hawachagui kazi.
Nimemkumbuka na Mercy Kitomari Nelwa Gelato naye ana degree ya U.K ila amerudi Tanzania anauza ice cream tu kisasa
Kasomea project management, na ujasiriamali huwa ni kozi na sio program, kwaiyo anachofanya kipo ndani ya ujuzi alosomeaMkuu nadhani hujanielewa.. nimesema kama amesomea ujasiriamali basi amepatia na anawaonesha watu namna ya kuwa mjasiriamali.. lkn kama amesomea IT afu amekuja kuuza KANDE ni ukweli kuwa maepotea na hasa ni kutokana na SERA za serikali yetu kutowatengenezea wasomi wetu mazingira mazuri ya kutumia taaluma zao kujenga taifa bora...
SI ANGEENDA KUSOMEA MAPISHI PALE VETA??
LAZIMA TUKUBALI KUWA TUMESHINDWA KUTUNGA SERA MADHUBUTI ZA KUSAIDIA WASOMI WETU..
Sent using Jamii Forums mobile app