Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Safi sana dada, wale walio mbugani wanayajuwa haya, labda wanapenda dushe zaidi ya wengine wakisingizia maisha magumu!
 
Sijasema kwamba hatafanikiwa na wala simuombei asifanikiwe ninataka sana afanikiwe Mungu ni Mwema, BUT ni upuuzi kumsifia na kuona anafanya maajabu kwa kwa kuuza makande kwa elimu aliyonayo kwamba anafanya kitu extra ordinary out of this world..tunamuongelea mtu mwenye exposure ya international education, countries, cities and lifestyle, kashindwa kung’amua fursa zilizopo katika eneo lake alilo master tunamsifia miaka minne baadae kaamua kuuza makande, really??
Ngoja nikupe kisa hiki, mnamo mwaka 2010 tulihitimu Chuo fani ya uhasibu ktk level ya degree. Tupo tuliofanikiwa kupata kazi mwaka huo huo pia wapo waliochelewa kupata ajira. Ktk kundi letu, mwenzetu moja alitushangaza Sana. Yeye hakujihangaisha kutafuta kazi. Huyu bwana alikua anaishi na baba ake mdogo, maisha yao yalikuwa magumu sana. Alicho tushangaza nikwamba badala ya kutafuta ajira alianza kufundisha tuition vitoto vidogo, tena alikuwa anafundishia upenuni mwa nyumba,
Hivisasa anamiliki English medium school yenye wanafunzi zaidi ya 400. Tuliokimbilia mishahara ya million tumebaki kapuku. Mchizi anamiliki nyumba ya gorofa na usafiri wa maana.
 
sijakuambia kuwa huyu dada hatafanikiwa, usinielewe vibaya ila ni upuuzi kumpa sifa za kijinga, ana uwezo wa kufanya kubwa zaidi ya hilo...kwa kutumia mfano wako jamaa alitumia elimu aliyoipata kufungua fursa zaidi sasa mtu ana masters ya project management anakuja kushinda kupika makande hii nchi unadhani itaendelea kweli kama kila msomi akiwa mpika makande?rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje kama anampango wa kufungua kiwanda cha kusindika chakula? Hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Unajuaje kama anampango wa kufungua kiwanda cha kusindika chakula? Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Wewe unajuaje?what's all the publicity for?amefanya kitu ambacho ni below ordinary kwa mtu wa elimu yake mnam praise kama hamna wajasiriamali wadogo wanauza zaidi ya plates 70~100 per day, kisa tuu kasoma marekani bado nina msimamo wangu kuwa ni upuuzi na wewe nancy kama unasoma nakuambia acha upuuzi taifa linahitaji wataalam/wasomi kama wewe jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza vizuri lakini na wewe ni chenga tu ka wengine wasioelewa.
Lazima ujue sifa za mjasiriamali na mweke huyo dada ndo utajua pumba uliyoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani hujanielewa.. nimesema kama amesomea ujasiriamali basi amepatia na anawaonesha watu namna ya kuwa mjasiriamali.. lkn kama amesomea IT afu amekuja kuuza KANDE ni ukweli kuwa maepotea na hasa ni kutokana na SERA za serikali yetu kutowatengenezea wasomi wetu mazingira mazuri ya kutumia taaluma zao kujenga taifa bora...
SI ANGEENDA KUSOMEA MAPISHI PALE VETA??
LAZIMA TUKUBALI KUWA TUMESHINDWA KUTUNGA SERA MADHUBUTI ZA KUSAIDIA WASOMI WETU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tumia akili yako vizuri,hapa duniani hakuna kazi inayodhalilisha ili mradi tu iwe halali,kama ni hvo basi tunaweza kusema kazi unayo ona haidhalilishi mm naweza kuiona ya ovyo na inadhalilisha hvo usiseme kuna kazi zinadhalilisha....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikampima akili yake,nikaona anaongea utoto tu,nikaachana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umekoaa na akaajiriwe kama wewe? Acha ujinga Dogo. Sio kila mtu ana waza kama wewe na usitake Yeye awaze vile unavyo waza wewe.

Wewe waza unavyo waza na yeye kawaza anavyo waza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukinyoosha mwandiko nitakujibu,lakini kwa uozo tu wa huo mwandiko,najua na akili yako imekaa hivyo,siwezi kujibushana na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndo Mpuuzi mkubwa sana, Umekoaa na Exposure mara Shiloprite.

uliraka afabye Zile biashara unazo zipenda?Ulitaka akufurahishe?

Au ulitaka aanzishe Duka la kuuza used Computer kutoka huko aliko kua?

Unasema ni Upuzi mwenzako anapiga pesa na huna namna ya kuweza kumfikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nilichoelewa hapo ulichoandika. Andika kiswahili fasaha,nikuelewe nitakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unajuaje?what's all the publicity for?amefanya kitu ambacho ni below ordinary kwa mtu wa elimu yake mnam praise kama hamna wajasiriamali wadogo wanauza zaidi ya plates 70~100 per day, kisa tuu kasoma marekani bado nina msimamo wangu kuwa ni upuuzi na wewe nancy kama unasoma nakuambia acha upuuzi taifa linahitaji wataalam/wasomi kama wewe jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
KFC alianza kwa kuuza kuku pembeni mwa barabara.

Watu huanza from know where Tatizo lenu kuuu Mlitaka afanye zile biashara mnzo zijua zile za kuigana kama.Mpesa.

sasa mnapo kuta hajafanya kile mnacho kijua mnaishia kupondea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda upuuzi Sina, siku zote chukia katika Maisha yako kazi za kuajiliwa. Soma upate maarifa elimu yako ikusaidie ku perform life!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Jukwaa limejaa watu wenye uwezo mdogo sana. Nitaongea na na Mod atengeneze sub jukwaa humu waingie watu kama wewe.

Mtu anasema kuwa na Degree halafu ufuge kuku ni Ujinga. Kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikupe kisa hiki, mnamo mwaka 2010 tulihitimu Chuo fani ya uhasibu ktk level ya degree. Tupo tuliofanikiwa kupata kazi mwaka huo huo pia wapo waliochelewa kupata ajira. Ktk kundi letu, mwenzetu moja alitushangaza Sana. Yeye hakujihangaisha kutafuta kazi. Huyu bwana alikua anaishi na baba ake mdogo, maisha yao yalikuwa magumu sana. Alicho tushangaza nikwamba badala ya kutafuta ajira alianza kufundisha tuition vitoto vidogo, tena alikuwa anafundishia upenuni mwa nyumba,
Hivisasa anamiliki English medium school yenye wanafunzi zaidi ya 400. Tuliokimbilia mishahara ya million tumebaki kapuku. Mchizi anamiliki nyumba ya gorofa na usafiri wa maana.
Story kama hizi humu hawatakuelewa Kiongozi. watu wana Gundi vichwani ni ngumu sana kukuelewa. wapigishie story za Alkiba au Diamond watakuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mtaji pia, sio kwamba watu hawapendi kujiajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni hoja dhaifu sana.
Kama unavyoona na kujua kwamba safari ya Kuipata digirii yako haikuwa nyepesi na ilianzia kule cini kabisa chekecea basi ata kwanye biasara ndivyo hivyo, lazima uanzie cini kuja juu kama huna Mtaji ..."ref-mtaji wa masikini ni nguvu zake mwnyewe"
 
Dada wa Kande asubuhi akiamuka anenda ofisini kwake, ni Mwanamke na hafanyi kazi ya mwanaume au mwanamke mwenzake.

Sasa nashangaa sisi wenye kufanyia kazi wanaume wenzetu ndo mabingwa wa kuponda ila wale wanao amka asubuhi na kwenda kutekeleza idea zao wenyewe ndo wanao msifia

Mwanaume kama una fanya kazi kwa mwanaume mwenzako then una mponda Mwanamke ambaye yeye anafanya kazi kwake mwenye basi una matatizo makubwa sana.

Yaani Sisi waajiriwa ndo mabingwa wa kukosoa biashara za watu kwamba Oo anajidhalilisha, ana Degree kwa nini auze kande.

Wewe mbona na usomi wako una fanya kazi ya mwanaume mwenzako? ni mara hata 100 wanawake ndo wamponde mwanamke mwenzao ila sio Sisi Wanaume tunao fanya kazi kwa wanaume wenzetu.

NI LITARAJIA WAFANYA BIASHARA AKA WAJASIRIANALI NDO WAMPONDE DADA ILA SASA NI KINYUME CHAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau...

Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong?

Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na masters university of Minnesota huko USA.

Baada ya kumaliza masomo yake akaamua kurudi nyumbani kujiajiri kwa kuuza makande kisasa na kwao ni mambo safi hasa hasa...

Nawaza tu why dada zetu maskini hawapendi kujishughulisha huku washua hawachagui kazi.

Nimemkumbuka na Mercy Kitomari Nelwa Gelato naye ana degree ya U.K ila amerudi Tanzania anauza ice cream tu kisasa

Hizi habari ni uongo ulio tukuka

Kama home mambo safi kwanini hakujiajiri
Kwenye biashara kubwa zaidi ya hio

Mbona watoto wa matajiri hawafanyagi biashara hizo za mama ntilie kama yeye

Tuache kupotosha vijana!!
Kujiajiri ili uweze kufanikiwa maishani kunahitaji capital inayo eleweka
Hizi biashara za faida 5000 kwa siku ni ngumu kuendelea kwa maisha haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhani hujanielewa.. nimesema kama amesomea ujasiriamali basi amepatia na anawaonesha watu namna ya kuwa mjasiriamali.. lkn kama amesomea IT afu amekuja kuuza KANDE ni ukweli kuwa maepotea na hasa ni kutokana na SERA za serikali yetu kutowatengenezea wasomi wetu mazingira mazuri ya kutumia taaluma zao kujenga taifa bora...
SI ANGEENDA KUSOMEA MAPISHI PALE VETA??
LAZIMA TUKUBALI KUWA TUMESHINDWA KUTUNGA SERA MADHUBUTI ZA KUSAIDIA WASOMI WETU..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasomea project management, na ujasiriamali huwa ni kozi na sio program, kwaiyo anachofanya kipo ndani ya ujuzi alosomea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
elimu ni tool kutusaidia kuweza kumudu mazingira yanayotuzunguka.
lakini mentality zetu zilijengwa kwamba "elimu ni ufunguo wa maisha"
tena elimu ya ufundi ambayo inatoa fursa kubwa ya kujiajiri tunaona option ya waliofeli

kadili unavyosoma ndivyo nafasi yako kuwa tajiri inavyopungua, wengi wetu hatuna uhakika na maisha tunashupaa tu.
mbaya zaidi tuna shingo ngumu, hatumini na hatujaribu.
na tukijiari ujue ni last resort, mbaya zaudi tunakula faida kabla biashara haijaanza. tunafikiria faida tu, hajiulizi vikwazo na tuna nguvu na mbinu gani kupambana navyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom