MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Lazima tuendelee kuajiwa tu. Kama akili zetu ndo hizi humu hakuna namnaNimejifunza kitu kwa huyu dogo, kwanza kupika ni passion yake hicho ni kitu muhimu kabisa, pili amejua kusudi lake na analifanyia kazi kwa udanisi na furaha (Nanauka anasema tambua kusudi lako) tatu, anafanya biashara ya kuuza chakula na kunasiku maalumu anapika makande, nampa hongera kwa kujua kusudi lake, elimu alikua anapuyanga tu bora angesomea upishi mapema, lakini hajachelewa. So muandishi anasema eti kaamua kupika makande!?!??!?! Halafu tunaanza kulaumiana?!! Wasomi wa nchi hii wako confused kabisa! Jua kusudi lako basi. Sio kudanganyana msomi anapika makande na anatoboa, huyo anafanya biashara ya chakula na kuna siku ya makande, akijiongeza atapika na ugali was mtama. Hongera dogo kwa kujua kusudi lako. Sijapenda heading ya uzi imekaa kibiashara sana
Sent using Jamii Forums mobile app