Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Lazima tuendelee kuajiwa tu. Kama akili zetu ndo hizi humu hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nawashauri wazazi wasipoteze hela kusomesha mtoto nje ya tz
Hakuna tofauti zaidi utatumia mihela mingi sana na mishahara ya tz yajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ulitaka aanzishe biashara ya kuwafurahisha? au ulitaka afanye kile unacho waza?

kwamba mmawazo yake sio lolote?

Kiongozi kwako biashara ni zipi? ni za kuuza Magari? Au Maduka ya Nguo na viatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idea yake haiwezi kukufurahisha wewe. vipi angefungua saloon? au vipi angefungua duka La Viatu? ungeongea? make hizo ndo biashara mnazo zijua

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaamini kwenye kushindwa mkuu na ndio maana wanamuangalia kwa jicho la leo wanasahau kumwangalia miaka mitano ijayo (kazi zingine watu wanafanya kama daraja kuwapeleka hatua flani ya maisha katika kutimiza malengo yao na ndio maana bidada ameanza kwa makande lakini kichwani kuna ndoto yake anayo ili aweze kuifikia lazima aanzie sehemu flani i.e. kuuza makande).

Watu wamezoea mpaka afungue duka kubwa la nguo ama viatu ambalo ukiliangalia lina vitu vya milioni kadhaa lakini kuna siku mtu hatoki hata na mauzo ya 30,000
 
Hana mawazo kama yako? Unazani kila mtu anawaza jinsi unavyo waza?

Yaani Biaashara aanzishe yeye ila muumie wengine?

Ulitaka afanye Jambo kuwafurahisha?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa Unawaza kuajiriwa? yeye huko hayupo na ndo kama hivyo?

Hakuna anaye jifariji ila wewe ndo uwezo wako mdogo sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasiku laki2, kwa mwezi anapata Milion 6, sasa mwenye hiyo degree akiajiriwa anaweza kufikia mshahara wenye kiwango hiki???

Sent using unknown device
Hicho kiwango ni mshahara wa msomi wa miezi 6 tena ana miaka kadhaa kazini, though hapo kuna gharama za uendeshaji kama kununua vyakula, usafiri etc lakini kwa biashara ya chakula ilivyo 75% ni faida maana vyombo anavyotumia ni vile vile baada ya kuwekeza mtaji kwa kununua mara moja vyombo na kubaki kununua chakula cha kupika tu
 
Una akili ndogo sana. kwa hiyo wewe usha moangia hatawanikiwa? au kwako kufanikiwa ilikuwa lazima akae huko Afanyw kazi?

Wewe ndo unajua Business planing yake?
alisha share na wewe na ukanona hakuna kitu pale?.au unaongea tu kwa hisia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makande...!!,haya haya nayoyajua mimi?,na hao wateja wa kutafuna makande kila siku anao?,au ndo kutafuta kick?
Vipi angefungua Duka la Nguoa? Hahaa Bongo bado sana ndo Maana Wazungu wanakuja na Laptop tu na wanaondoka na Pesa kwa mawazo haya laziam tu watajirikie kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na tena anavyoendelea kuuza ndio anazidi kujitengenezea jina na kufanya awe na wateja wengi, yaani baada ya miezi mitatu utakuta anacheza na wateja 80+, kizembe zembe anaweza akatoka sawa na mbunge
Sent using unknown device
 
Shida nini hasa? yeye kujijiari?.na je mlitaka hasa afanye biashara ipi?.zile za.mkumbo za kila mtu? Kama Duka, Hard ware, Saloon?

Nazani wazungu kama wanapitia humu huwa wanafurahi sana ba kuona jinsi Safari yao ya kuja Bongo na Laptop na kurudi na pesa itakavyo kuwa rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wengi wana kusaidia nini? sasa unataka awe kama hao wengi unao watolea mifano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo naoma umekomaa sana kutolea watu mifano. halafu unataka wote wafanane na hao unao watolea mifano.

Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi ange fungua Yard ya Magari au Duka la nguo?

make naona shida hapa ni yeye kuuza kande.

Unajua Mwanzilishi wa Macdonard alivyo anza?

KFC unajua alivyo anza?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida kubwa ya Wabongo wanataka ufanye kile wanacho penda wao na sio kile unacho penda.

Ndo zile ushari tunaendaga kupeana tukiwa baa kwamba kalime tikitika mara kafungue Hard ware inalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu,

Salaam nyingi zikufikie hapo nyuma ya keyboard.

Dhumuni la barua ni kukufahamisha juu ya kuquote mtu na kutoa busara zisizo na busara.

Kwahiyo mimi ninataka binti afanye ninachopenda jambo ambalo ni tabia mbaya, au siyo?

Ila wewe unataka niandike unachopenda??

Ama hakika umeufedhehesha ukoo wako wote.

Eh ngoja nilale,

Ndimi,
MentalityYaUmaskini.
 
Sitaki kuongea mengi lakini niko na shaka kubwa kwa hii masters degree ambayo huyu binti anaye, kwanza amesema hi ya finance, hii ndio ukweli , marekani ukiwa na masters in finance kazi ni tele, na pia kupata kibali cha kuishi huko amerika sio shinda, ukiajiliwa ile kamupuni au mtu alikuajili ana haki ya kwenda na kukuezesha upate resident permit sababu uko na kazi,lakini kando na hilo, sioni ANY MOTIVATION, huyu dada anawapa watu wanaotafuta ajira, kaa hii ni masters ya toka mzumbe au dar, hio singeona shinda kubwa nae, lakini huwezi kwenda toka tz mpaka usa ukapata masters, ukapata all that knowledge toka first world, ukawa exposed to all that technology, innovation and yale yote ambayo hufanyika pahali kaa marekani and for sure you came back to bongo to sell makande!!!!!!!!!!,sasa hata huko marekani angekuwa amepata ujuzi na maarifa ya kufanya kitu ambacho kitakuwa tofauti na mtu ambae amesoma tu bongo, yaani angeazisa hata micro finance credit inst, hata kaa sio kubwa kutumia hio ujuzi wa finance education ako nae,au hata kaa hana mtaji, then angeaza a consultancy firm ya kuwapa ushauri wale wanataka kuaza biashara ndogo au kubwa,au hata achukua hii nafasi ya ile kitu kinaitwa AGOA aaze ku export vitu huko amerika, mimi naona ajabu sana na huyu binti yetu, na ndio ninasema niko na mashaka makubwa kuhusu hii masters yake, this is not the way a person who trained in usa , who has a masters should be doing things, she ought to do something innovative and mordern in tech ways,
 
Nawaonea huruma mnaocomment ujinga. Hamjafahamu tu kiasi chenu cha upumbavu na jinsi gani kitawafanya muendelee kuwa maskini.
mkuu pengine ile comment unaona kwako ni ujinga ni comment wengine ambao ni wasomi wa hali ya juu wanaona hio ndio point safi, in short intelligence is relative sir, be wise
 
mkuu hata acha hio yote amesema ako na masters, kaa uko na masters haswa usa hukosi kazi haswa in finance and project managment, yule anekuajiri ndio huwezesha upate kibali cha kuishi, mimi simuamini huyu dada kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…