radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,473
we wazo lako la kuku wa kichina unaona upo nje ya comfort zone?Yes kwa sababu amefanya kile ambacho kiko nje ya levo zako za kuwaza. Nikuambia leta wazo lako hapa kama haitakuwa MPESA basi itakuwa Baaa au Saloon au Duka la Hard ware au kuuza Nguo za kike na za watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app