Agenda1
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,695
- 3,412
Umenichekesha sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenichekesha sana mkuu.
Shule tunaenda ili kuondoa ujingaUpumbavu mtupu... una masters halafu unauza makande? Ulisomea kuuza makande? Ulienda shule kufanya nini sasa!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha AiseHapa watakwambia umechanganyikiwa! Mtu anasoma masters mpaka PhD anavuka na border, anarudi Tanzania kuuza makande. Pathetic.
Sent using Jamii Forums mobile app
unatafuta ugomvi na watu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani wanaume wote dream zao ni kuwa na wanawake wa Namna hii. Mbaya zaidi tunakutana na akina @Demis
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unatafuta ugomvi na watu...
Kwani biashara ya makande inahitaji mtaji kiasi ganiKiukweli umeongea point ya maana lakin walio wengi humu Kwa unafki wao hatokosa sababu ya kupinga hoja yako ila kiukweli mitaji ndio inawakwamisha sana vijana katika kufikia malengo
Angeishia form four tu akaanza kuuza hayo makandeUpumbavu mtupu... una masters halafu unauza makande? Ulisomea kuuza makande? Ulienda shule kufanya nini sasa!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro Sometimes unachemka sana,yani mtu asome hadi PhD ya injiniaring halafu aje kuuza kande kweli? haya ni matumizi mabaya ya elimu,wenzetu wanatumia elimu zao kigundua vitu vya maana sie twauzia kande hahahaha halafu na wewe unasifia eti yuko nje ya konfoti zoni daah....aibu sana Afrika....Ukitaka watu wakupigie makofi basi wape wazo lako la kuendelea kuwa ndani ya Confort zone hapo utashangiliwa sana.
Dada wa MWANZA angekuja na Idea ya Kufungua Duka kali la Urembo angeshangiliwa sana, Duka la Nguoa watu wangeshangilia mno, Salooni kari ya kike watu wangeshangilia sana, Baa tungeshangilia sana.
Tungeshangilia kwa sababu ni vitu vya Confort zone zetu.
Ukitaka ukamwe basi waso lako la nje kabisa ya Confort zone wapelekee watu wa ndani ya Confort zone. Hahaaa hapo unakamwa milele
DADA MWENYE BIASHARA YA KANDE MWANZA nazani aliomba ushauri kutoka kwa watu wa walio kwisha toka kabisa nje ya Confort zone zao. la sivyo asingefanya ile biashara. yaani angeomba ushauri kutoka kwa watu kama sisi tungeishia kumwambia anajiabisha.
Nisha wahi kuleta Habari ya Dasa muuza Uji anaye soma Chuo watu waliponda sana wanaponda kwa sababu dada katoka nje ya Confort zone na si vinginevyo.
Wanao pondea Dada wa Mwanza ni kwa sababu yule Dada katoka nje ya Confort zone walizo zizoea wao. sasa hii ni tatizo kwetu watu wa Confort zone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria vizuri kisha uniulize tens kama tu utakosa majibu au mawazo mapyaKwani biashara ya makande inahitaji mtaji kiasi gani
Inasikitisha.. Kuna wenye degree siku hizi wanaendesha tu boda boda!Huyu binti ni wakumweka ndani
Sema ni upuuzi wa kiwango cha juu mtu unasoma hadi masters then unarudi mtaani kuuza mahindi...sasa unatofauti gani na aliyefeli darasa la saba
Hizi nchi zetu maskini za kiafrika ngumu sana..
Nanaa
kweli mkuu ila wanao msifia ni wapumbavu zaidi
Ilunaweza ukauza mahindiHuyu binti ni wakumweka ndani
Sema ni upuuzi wa kiwango cha juu mtu unasoma hadi masters then unarudi mtaani kuuza mahindi...sasa unatofauti gani na aliyefeli darasa la saba
Hizi nchi zetu maskini za kiafrika ngumu sana..
Nanaa
Ulianza vizuri lakini na wewe ni chenga tu ka wengine wasioelewa.NGOJA NAMI NICHANGIE KIDOGO...
Tusipende sana wasomi kufanya mambo tofauti na carrier zao...
AFRIKA NI MASIKINI KWA SABABU WASOMI WENGI HAWAFANYI VILE WALIVYOSOMEA.. UNAKUTA KASOMEA IT LKN ANAUZA NGUO...
TUKUBALI KUWA TUMEPOTEA....
KAMA ALISOMEA UJASIRIAMALI BASI AMEPATIA SANA NA ANAFANYA KILE AMBACHO ANAPASWA KUFANYA ILA KAMA KASOMEA TOFAUTI NA HAPO YUKO WRONG NA HII NI KWA SABABU YA UMASIKINI WETU.
WASOMI WETU WAANGALIWE VIZURI NA KAMA NCHI LAZIMA TUWE NA SERA MADHUBUTI ZA KUWAWEZESHA HAWA WASOMI... TUSICHEKELEE UPUUZI HUU.. MTU KATUMIA GHARAMA KUBWA AFU ETI UNAMSIFIA KUUZA KANDE?? SI BORA ANGEANZA KUUZA TANGIA ZAMANI?? HAKUNA MWENYE KUSOMA AKAWAZA HAYO MAMBO.. ALWAYS HUTOKEA MARA BAADA YA KUSHINDWA KWA SERA ZETU ZA KUIINUA WASOMI WETU...
NCHI YA HOVYO SANA HII.. NA NI AIBU KWA TAIFA KWA WATU KUFANYA VITU AMBAVYO HAWANA UTAALAMU NAVYO..
Sent using Jamii Forums mobile app
Package 1 tsh 5000kweli mkuu ila wanao msifia ni wapumbavu zaidi