Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,333
Mara mia angeishia hata la saba tu.Angeishia form four tu akaanza kuuza hayo makande
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara mia angeishia hata la saba tu.Angeishia form four tu akaanza kuuza hayo makande
Bakhressa hana shule yoyote kichwani yule! Ni ujanja ujanja tu wa hesabu za kujumlisha na kutoa ndio maana kawa tajiri.Ficha ujinga wako unamshamgaa mtu anauza makande mbona humshangai bakhresa anauza chapati na maandazi?
Kweli mkuu, mimi siamini hii masters ya huyu bintiUtaambiwa wewe ni mvivu wa kufikiri!! From US to TZ for makande!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu ameangalia mambo kwa jicho la chuki na wivu mtupu.Acheni unafiki ndugu zangu! Angalia tu jiko lake lilivyo, ni kwamba ana mtaji wa kutosha na amewezeshwa huo mtaji! We tengeneza makande kwenye kibanda kama cha Mama Ntilie uone kama utakuwa umefuata nyayo zake!
Point za wengi wetu humu ni hamna kitu kama ule mkumbo wa vijana kulima matikiti maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, hilo ndio lengo la Nancy, na ameweza kulifanikisha. Amejitangaza. Sasa sijui tulitakaje? Yeye kama mjasiriamali ulitaka atumie akili na mbinu zipi kujitangaza? Ulitaka ujifiche? Ulitaka iwe siri yake?Lengo lake kubwa ni kujulikana tu kama kwao mboga nane matunda kibao juice na vyoda, lakini anauza makande na ame somea marekani hilo ndo lengo lake. Hakuna cha makande ya kisasa wala nini kande ni kande tu hakuna kisasa wala nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulitaka mtu akisoma Marekani basi arudi Tanzania kufanya nini?Yaani kwangu mtu yoyote aliefika kusoma au kuishi marekani au nchi za ulaya,halafu akarudi huku analialia habari za hela huo ni upopoma mkubwa,hata huyo anaeuza kande wakati amesoma marekani/kuishi marekani ni mpumbavu wa hali ya juu,siwatanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unashindwa kuamini masters ya huyo binti ambaye ameweza kujiajiri na kuweza kuajiri watu wengine watano, basi anza kuamini elimu ya Professor Usorro ya kutulisha upepo watanzania kuwa tutavuna kila mtu Noah yake kwa matrilioni hewa ya makinikia.Kweli mkuu, mimi siamini hii masters ya huyu binti
Mkuu usitake kuiga au kufananisha hicho anachokifanya huyo binti na mazingira uliyopo wewe. Jaribu kujifunza kwa huyo binti na utaelewa. Tusipende sana kutafuta visingizio ili kuhalalisha kushindwa kwetu. Watanzania tumejaa sana woga na hatutaki kufikiri kwa akili zetu. Hakuna siku mazingira yatakuwa rafiki, katikati ya mazingira magumu ndipo wajanja wanatoboa kiuchumi.Wewee, hivi unadhani alichukua tu mahindi na maharage akapika makande wateja wakaja? Yaani napata picha hapa uswahilini kwetu nipike tu makande watu waje kula? Kwanza jina lake tu ni mtaji tosha, umeenda kuangalia hayo makande anayauzia sehemu gani? Anayapikaje? Anayapack vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule=kupata maarifa/kuondoa ujinga
Bonge ya idea..utaona sasa watu wakavyomuiga[emoji41]
ndo inavyokuaga esp Tz
huyo yuko vizur sana...Yupo mwanza sehem gani na mimi niende kupata Menu hapo!! napenda kula sehemu safi safi.Usimdharau ako na Bachelor degree in Finance and Business pamoja na Master in Project Management. Kwa taarifa yako mie nshakula Makande yake anauza Kati ya lunch boxes 160 - 200 @ 5000/=kwa siku anapata 800,000/= Hadi 1, 000, 000/=. Ni pesa ambayo hata angefanya BOT asingelipya. Pia ameajiri vijana so ni Enterpreneure mbunifu. Mi mteja wake ni msafi sana hata lunch boxes kaziagiza China.
Sent using Jamii Forums mobile app
na mara nyingi.hawachomoki..anapara kaumaaruf at first the anakufaKibongo bongo si la kushangaa...wengi wetu huwa ni wepesi kuiga na si kuwa na mawazo mapya
Sent using Jamii Forums mobile app