Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Anajivunia kuuza sahani 40 kwa siku na anasema ndio kitu anachokipenda.Mpuuzi nae elimu yote hiyo unakuja kuuza makande, huyo ni failure kabisa, yule dogo wa Microsoft nilimuewa ila huyu ni jinga kabisa biashara kama hizi ukiuza sana sahani 50, inamsaidia nini kapoteza hela za wazazi wake
i was like whaat! na mbona ukapoteza pesa za wazazi kukupeleka States badala ya kusoma hotel management tu hapo Mwanza.