Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Mpuuzi nae elimu yote hiyo unakuja kuuza makande, huyo ni failure kabisa, yule dogo wa Microsoft nilimuewa ila huyu ni jinga kabisa biashara kama hizi ukiuza sana sahani 50, inamsaidia nini kapoteza hela za wazazi wake
Anajivunia kuuza sahani 40 kwa siku na anasema ndio kitu anachokipenda.

i was like whaat! na mbona ukapoteza pesa za wazazi kukupeleka States badala ya kusoma hotel management tu hapo Mwanza.
 
NGOJA NAMI NICHANGIE KIDOGO...
Tusipende sana wasomi kufanya mambo tofauti na carrier zao...
AFRIKA NI MASIKINI KWA SABABU WASOMI WENGI HAWAFANYI VILE WALIVYOSOMEA.. UNAKUTA KASOMEA IT LKN ANAUZA NGUO...
TUKUBALI KUWA TUMEPOTEA....
KAMA ALISOMEA UJASIRIAMALI BASI AMEPATIA SANA NA ANAFANYA KILE AMBACHO ANAPASWA KUFANYA ILA KAMA KASOMEA TOFAUTI NA HAPO YUKO WRONG NA HII NI KWA SABABU YA UMASIKINI WETU.
WASOMI WETU WAANGALIWE VIZURI NA KAMA NCHI LAZIMA TUWE NA SERA MADHUBUTI ZA KUWAWEZESHA HAWA WASOMI... TUSICHEKELEE UPUUZI HUU.. MTU KATUMIA GHARAMA KUBWA AFU ETI UNAMSIFIA KUUZA KANDE?? SI BORA ANGEANZA KUUZA TANGIA ZAMANI?? HAKUNA MWENYE KUSOMA AKAWAZA HAYO MAMBO.. ALWAYS HUTOKEA MARA BAADA YA KUSHINDWA KWA SERA ZETU ZA KUIINUA WASOMI WETU...
NCHI YA HOVYO SANA HII.. NA NI AIBU KWA TAIFA KWA WATU KUFANYA VITU AMBAVYO HAWANA UTAALAMU NAVYO..

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa pesa baba, we unaumwa huna hela huwezi weka vyeti rehani tutafute pesa.
Waarabu hawasomi sana lakini pesa wanayo
 
Kusema ukweli hiyo fani aliyosoma ni kipuuzi, ngoja auze Makande aajiri Vijana wengine na awe mfano bora kwa Vijana wengine wanaosoma Fani za kipuuzi kama hizo!
Mkuu unajua unachokiongea??

Unaijua masters ya project management (Msc.PPM) au unahisi tu unadhani ni mchezo mchezo...itafute kwa tz especially Mzumbe Moro, anachofanya ndicho anachopenda si vema kubeza akipendacho mtu na HAUKIJUI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi nae elimu yote hiyo unakuja kuuza makande, huyo ni failure kabisa, yule dogo wa Microsoft nilimuewa ila huyu ni jinga kabisa biashara kama hizi ukiuza sana sahani 50, inamsaidia nini kapoteza hela za wazazi wake
Wewe utakuwa zezeta wa karne na karne. Unaona mafanikio ni kuajiriwa na kukaa nyuma ya keyboard walizonunua vidume sio, au Unaona ujanja ni hicho kijishahara cha 2m sio? Utakufa masikini ww
 
Amerud Tz 2015 baada ya kukaa marekani kwa miaka 10, na mwaka huu 2019 ana miaka 29 inamaana amerudi Tz akiwa na miaka 25, so alienda marekan akiwa na miaka 15 wakati huohuo amesema amesoma mpaka kidato cha 6 akiwa bongo inamaana amemaliza form 6 akiwa na miaka 15, maana ameenda marekan kufanya level ya degree akiwa na miaka 15.
 
Hahaha, umetumia ubongo kiwango kizuri mkuu. Anyway, kwa hali ya uchumi ilivyo na soko la ajira lilivyo kwa sasa, ni vizuri tu watu kutafuta opportunities tofauti na kuajiriwa.

Serikali haiajiri, private sector inaajiri kidogo sana, products za vyuo ni nyingi kila mwaka, soko la ajira lipo saturated. Tough!!!
 
Mkuu unajua unachokiongea??

Unaijua masters ya project management (Msc.PPM) au unahisi tu unadhani ni mchezo mchezo...itafute kwa tz especially Mzumbe Moro, anachofanya ndicho anachopenda si vema kubeza akipendacho mtu na HAUKIJUI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nina Mfano wa Watu watano wamesoma Shahada ya Uzamili ila bado wanatumia Shahada katika ajira zao, zina nafasi chache hapa Tanzania. Ngoja ajiajiri tu!
 
Mwenzako anaingiza laki 2 kwa siku, wewe unaingiza shi ngapi? Uki sum up anamzidi hata mkurugenzi flani kwenye serikali ya jiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
hata mashoga wanaingiza pesa nyingi kwa siku ila sidhani kama utawasapoti kisa tu unaingiza pesa.lazima kazi unayofanya iendane na hadhi yako.ni upumbavu wa hali ya juu kusoma kwa gharama kubwa labda havard university halafu uje uzoe takataka barabarni au uzibue vyoo kisa uaningiza pesa nyingi,pesa sio kila kitu kwenye maisha.
 
nyie subirini muone kitu atakachoshuka nacho hivi karibuni,atashusha mitambo kutoka china kufyatua misosi ya nguvu,huyu hatoki kwenye ukoo wa makapuku,kwa ni matajiri wazazi wake wana biashara za kila ina hapa mza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au wakati anafanya hivyo na bado nachukua oda ya kupika hata kwenye kipaimara na shughuli ndogo ndogo kujenga jina na watu wanavyooa kila wiki baadae weekend anatoa huduma kwenye harusi maana nilivyomsikia biashara yake nadhani siku za kazi ndio inanoga zaidi hivyo ili aweze ku-shine wiki nzima inabidi na weekend akomae kwenye sherehe
Na ndio lengo lake huwezi kuanzia juu moja kwa moja .lakin kadiri anavyojitangaza ndio anapata watu.

Mfano halisi tunauona kwa shilole alianza mgahawa na pesa ya nyanya lakin kwa sasa anazidi kupaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mashoga wanaingiza pesa nyingi kwa siku ila sidhani kama utawasapoti kisa tu unaingiza pesa.lazima kazi unayofanya iendane na hadhi yako.ni upumbavu wa hali ya juu kusoma kwa gharama kubwa labda havard university halafu uje uzoe takataka barabarni au uzibue vyoo kisa uaningiza pesa nyingi,pesa sio kila kitu kwenye maisha.
Lakini kasomea biashara na anafanya biashara!!

Au wewe ulikua unashauri nini? Ingekua ni wewe ungefanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A
Ndo maana nawashauri wazazi wasipoteze hela kusomesha mtoto nje ya tz
Hakuna tofauti zaidi utatumia mihela mingi sana na mishahara ya tz yajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Asingeenda kusoma nje angeona wapi jinsi huko nje wanavyofanya biashara kama hiyo.

Hiyo elimu itamsaidia sana ktk hiyo biashara.
 
Back
Top Bottom