Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Your Thread , , Is Pontentially Offensive,you Can Not Generalize In Such A Way.B'se Ladies Who Are Graduate Are Many, And You Have Not Yet Seen Enough Of It To Make Such Generalizations,,. It Also Adds Nothing To The Main Issues That You Raise Which Is Quite Good And Useful, . How We Open Our Pitch Matters.B'se We Can Put Off People Or Get Into An Engagement Before Even Start,. You Have To Appreciate The So Called Individual Difference

Kweli nimeamini "Writing is an art"
Mwandiko wa kizazi sana huo
 
NGOJA NAMI NICHANGIE KIDOGO...
Tusipende sana wasomi kufanya mambo tofauti na carrier zao...
AFRIKA NI MASIKINI KWA SABABU WASOMI WENGI HAWAFANYI VILE WALIVYOSOMEA.. UNAKUTA KASOMEA IT LKN ANAUZA NGUO...
TUKUBALI KUWA TUMEPOTEA....
KAMA ALISOMEA UJASIRIAMALI BASI AMEPATIA SANA NA ANAFANYA KILE AMBACHO ANAPASWA KUFANYA ILA KAMA KASOMEA TOFAUTI NA HAPO YUKO WRONG NA HII NI KWA SABABU YA UMASIKINI WETU.
WASOMI WETU WAANGALIWE VIZURI NA KAMA NCHI LAZIMA TUWE NA SERA MADHUBUTI ZA KUWAWEZESHA HAWA WASOMI... TUSICHEKELEE UPUUZI HUU.. MTU KATUMIA GHARAMA KUBWA AFU ETI UNAMSIFIA KUUZA KANDE?? SI BORA ANGEANZA KUUZA TANGIA ZAMANI?? HAKUNA MWENYE KUSOMA AKAWAZA HAYO MAMBO.. ALWAYS HUTOKEA MARA BAADA YA KUSHINDWA KWA SERA ZETU ZA KUIINUA WASOMI WETU...
NCHI YA HOVYO SANA HII.. NA NI AIBU KWA TAIFA KWA WATU KUFANYA VITU AMBAVYO HAWANA UTAALAMU NAVYO..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense. Kwa vacancies gani zilizopo nchini?!!. Hadi tuseme ni vema kila graduate asimame kwenye career yake.

Acha kupotosha Umma mkuu, hiki kinachoendelea hivi sasa...kipo sahihi kabisa, kulingana na hali ilivyo hapa nchini. So acha vijana wapambane, kujikwamua kutoka kwenye poverty cycles zao.

Ningeona umeongea point, if ungekuja na hoja ya kupigania mitaala yetu ya elimu, ifanyiwe marekebisho. Ili taasisi zote za elimu nchini, ziweze kuleta product (graduates), ambao ni wanted katika societies. Kwakufanya hivyo tunaweza kutatua, tatizo la joblessness na hatimahe kila mtu atafanya kazi za career yake.

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida nnayoiona hapa ni kulinganisha nadharia na uhalisia.

Nadharia msomi anatarajiwa afanye mambo makubwa na awe na kipato kikubwa.

Uhalisia msomi hana mtaji wa kujiajiri wala elimu yake haikumuandaa hata kwa interview ya kazi na akirudi mtaani ajikomboe kimaisha anaonekana pathetic.

It was once said, life is never fair.

Live today that’s all you have, tomorrow is not in your capacity rather than probability.

Naona nilipitwa na habari ya mdada naungaunga tuu hapa degree PhD na makande wapi na wapi..... sijui nani anisimulie.

Pia nahisi story imekuwa hivi sababu ni mdada, Je angekuwa mwanaume.... bado angeshangawa au ndo ingesemwa mwanaume kupambana kutafuta hela hakuna kuchagua kazi??..

Nimekumbuka kitu kingine, unakuta mzazi anamsomesha mwanae shule nzuri kuanzia primary ada Tsh milioni tatu kwa mwaka kwa miaka 7, kumla Tsh milioni 21.

Sekondari ada Tsh milioni 2 kwa mwaka kwa miaka 4 jumla Tsh milioni 8.

A level ada Tsh milioni 3 kwa mwaka kwa miaka 2 jumla tsh milioni 6. Chuo anamsomesha hapa nchini analipia miaka 3 kila mwaka Tsh a milioni 3 jumla Tsh milioni 9. Masters anaenda kufanyia Uganda au South Africa achia wa uingereza au marekani, hapo kwa miaka 2 mzazi zinamtoka milioni 10 kwa kiwango cha chini.
Haya ni makadirio ya chini maana hapo gharama nyingine sijaziweka.

Halafu ukute mzazi ana watoto 4 wote wapitie mkondo huo huo.... kisha mtoto akimaliza masters aje kuajiriwa TRA au benki mshahara Tsh milioni 2 kwa mwezi, huo ndo wa kiwango cha juu wengine wanalipwa hadi milioni 1 au laki 8.

Well, elimu / ujuzi hauna expire date ila gharama alizowekeza mzazi na kipato au return anayopata mtoto ni sawa na sifuri.

Inabaki kuwa mapenzi kwa mzazi kuhakikisha mwanae amepata elimu nzuri ili morrow nae aje kumsomesha mwanae.

Uwekezaji kwenye elimu ukikokotoa ije ikulipe kama sio kibosile unaweza piga mbiu wa chini yako wasipoteze muda na hela kusoma na kusubiri ajira.

Kasie.
Safi sana....umeongea logic tupu.

Now naanza kuwa na taswira ya tofauti, juu ya mwanamama anayeitwa Kasie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umekimbilia kuangalia faida na kulinganisha na watu wa kawaida ujapiga hesabu ya vifungashio,mchakato wa kuunga (viungo vyake)

jumlisha na ada ya elimu yake, anakuja fanya upumbavu alafu mna muunga mkono
Kwaio ulitaka alale ndani sio?!!! Embu stop it bhana.

Hivi atakama anatoa costs zake zote za uzalishaji, tu assume anabaki na laki 1 per day. Ni kiasi kidogo hiko kwa maisha ya sasa...?!!

Just think twice, ni watanzania wangapi wenye kipato cha namna hiyo per day?. Then utaona logic ya kile anachokifanya huyo binti wa watu. Binafsi namuunga mkono 100%, sioni mbaya....maana yeye anapigania maisha yake, ambayo yamekuwa shaped na mifumo mibovu ya nchi yetu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokiona hapa ni watu kudharau "makande" na si kingine. Yaani ukiuza makande unaonekana kama hujui vile...

Ila makande hayo hayo yanaweza kumtajirisha huyo dada. Just give her time.

Kingine wanaomponda wengi nadhani si wajasiriamali...maana huwezi kuidharau fursa ambayo inaweza kuwa chanzo kikubwa cha fedha. Wewe unapoona kuuza makande kuwa ni upumbavu, yeye anaona pesa.

Lastly, elimu inayosomewa darasani mara nyingi haimuandai msomi kujiajiri...bali humuandaa kama mtumishi sehemu fulani. Ndiyo maana darasa la 7 anaweza kumuajiri mtu mwenye masters.

Kusoma Marekani tu bado hakukupatii fedha, kurudi nyumbani Tz ni uamuzi mzuri maana fursa bado ni nyingi sana compared na US ambako almost kila eneo tayari limeendelezwa. Rudi home jenga uchumi wa nyumbani.
Exactly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana....umeongea logic tupu.

Now naanza kuwa na taswira ya tofauti, juu ya mwanamama anayeitwa Kasie

Sent using Jamii Forums mobile app


Hhahahahahaaa sio kweli, saa ingine Ddadii huwa ananiandikiaga vitu vya kujibu huku JF.

Mie nnayotoa kichwani kwangu ni Mahaba tuu, mengine chaliii heheheheee

Thanks by the way.
 
Hhahahahahaaa sio kweli, saa ingine Ddadii huwa ananiandikiaga vitu vya kujibu huku JF.

Mie nnayotoa kichwani kwangu ni Mahaba tuu, mengine chaliii heheheheee

Thanks by the way.
Ahahhhaah hapana sio kweli. Sema sometimes huwa unajichetuaga tu.

Noamba nikubatize jina hili, "Tym yes, tym no"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada muuza vyakula na hasa makande anapondwa bila sababu, kusoma ni kama kuondoa ujinga, kusomea fani utakayo ili uifanyie kazi siyo kosa, ila kuitumia hiyo elimu uliyosomea kwa gharama kubwa yategemea na ajira, sasa kama ajira hamna ufanye nini?!
Kule Uk wanadai kuna graduates wa elimu za tofauti wameamuwa na waliamuwa kwenda kufanya kazi za ufundi, kama za kuwa plumber, electricians, na hata builders (baada ya kupata ka elimu ka hizo kazi kupitia City & Guild).
Ukisomea Banking, kazi hupati, haimanishi ukiamuwa kuwa mama ntilie au mwanaume mpika chapati umekosea, la hasha, yaaminisha ni lazima uingize hela ya kukidhi maisha yako, na hapo hapo kwenye hizo biashara ndogo ndogo ukitumia vizuri akili yako na usomi wako waweza kuikuza hiyo biashara ikawa ya maana kabisa...
Nigeria yenye wasomi wengi kuliko sisi, wale wasiokuwa na kazi wanafanya za kila aina, kuanzia boda, bajaj, kilimo, kuchoma mahindi, konda kwenye daladala, baba au mama ntilie, kuuza duka, kuokota vyuma chakavu n.k. n.k.
Sasa wewe mwenye degree endelea kuwa kula kulala ukitegemea utapata kazi uliyosomea tuone utaishia wapi..
Hongera dada pika na uza kande maisha yaende, wale wanapoponda hawajuwi wasemalo...
 
umekimbilia kuangalia faida na kulinganisha na watu wa kawaida ujapiga hesabu ya vifungashio,mchakato wa kuunga (viungo vyake)

jumlisha na ada ya elimu yake, anakuja fanya upumbavu alafu mna muunga mkono
So pathetic halafu unakuta mtu km wewe una degree yako halafu unaandika upumbavu km huu....hebu kasome kampuni ambazo leo hii zina thaman ya mabilion ya pesa km starbucks zilianzishwa vipi....starbucks ilianzishwa ma idea simpo tu km ya hyu dada leo hii imeajiri wafanyakazi almost 3 million

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your Thread , , Is Pontentially Offensive,you Can Not Generalize In Such A Way.B'se Ladies Who Are Graduate Are Many, And You Have Not Yet Seen Enough Of It To Make Such Generalizations,,. It Also Adds Nothing To The Main Issues That You Raise Which Is Quite Good And Useful, . How We Open Our Pitch Matters.B'se We Can Put Off People Or Get Into An Engagement Before Even Start,. You Have To Appreciate The So Called Individual Difference,,,,,,. Kuwa Msomi Ni Pamoja Na Kukubali Kutokubaliana Na Wenzako,,, Katka Biashara Kama Hana Kipya Kwenye Hayo Makande Alichoongeza (game changer,) Basi , Nami Nasema Ni Lulu Iliyopotea, Lazima Tujifunze Kutokubaliana Na Wengine Bila Jaziba,,,.
"Kuwa msomi ni lazima kujifunza kutokubaliana na wengine" very true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So pathetic halafu unakuta mtu km wewe una degree yako halafu unaandika upumbavu km huu....hebu kasome kampuni ambazo leo hii zina thaman ya mabilion ya pesa km starbucks zilianzishwa vipi....starbucks ilianzishwa ma idea simpo tu km ya hyu dada leo hii imeajiri wafanyakazi almost 3 million

Sent using Jamii Forums mobile app
utaendelea soma leta shuhuda bila kuangalia mazingira ya ulaya na hapa kande buku 5 ikawe kimataifa umelogwa wewe

ulaya watu wana uwezo wa kununua vp kwetu huku kama wastani wa pato ni chini ya elfu 10 iyo elfu tano kamlenga nani?

kama wewe nae msomi ndo wale mnao ishia kujaza mawazo ya kiulaya yasiyo endana na mazingira yetu
 
Habari wadau...

Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong?

Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na masters university of Minnesota huko USA.

Baada ya kumaliza masomo yake akaamua kurudi nyumbani kujiajiri kwa kuuza makande kisasa na kwao ni mambo safi hasa hasa...

Nawaza tu why dada zetu maskini hawapendi kujishughulisha huku washua hawachagui kazi.

Nimemkumbuka na Mercy Kitomari Nelwa Gelato naye ana degree ya U.K ila amerudi Tanzania anauza ice cream tu kisasa



Ndio maana halisi ya elimu, kujiongeza, kutojali, kujaribu, uthubutu wa mambo mapya. Ukishindwa umeshindwa unajaribu vitu vingine.

Hongera Nancy, upate mafanikio.
 
Nonsense. Kwa vacancies gani zilizopo nchini?!!. Hadi tuseme ni vema kila graduate asimame kwenye career yake.

Acha kupotosha Umma mkuu, hiki kinachoendelea hivi sasa...kipo sahihi kabisa, kulingana na hali ilivyo hapa nchini. So acha vijana wapambane, kujikwamua kutoka kwenye poverty cycles zao.

Ningeona umeongea point, if ungekuja na hoja ya kupigania mitaala yetu ya elimu, ifanyiwe marekebisho. Ili taasisi zote za elimu nchini, ziweze kuleta product (graduates), ambao ni wanted katika societies. Kwakufanya hivyo tunaweza kutatua, tatizo la joblessness na hatimahe kila mtu atafanya kazi za career yake.

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu akili yako iko timamu?? Rudia kusoma tena na tena... Ukisoma nimeweka bayana kuwa tunafanya kwa sababu ya umasikini wetu n sera mbovu za nchi yetu... AU HUJAELEWA MANTIKI YA HAYO MANENO HAPO??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahahahah kasie bhana. We mama unavituko kama vyote.....

I wish siku nioteshwe usku, "huyu ndio kasie" nikuone tyu unafananiaje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehehee hapana, sina hata vituko niko mpoleee hehehehee.

Usijali, muone Mshana Jr atakusaidia utapata ndoto ya kumuona Kasie anafananaje kupitia kioo chake.

Kigagula kizee Kasie, kitata ...😅
 
Back
Top Bottom