Binti wa miaka 17 ajinyonga baada ya kuachika mara tatu kwenye ndoa

Ni upumbavu haswaaa, chakushangaza pia ameachika 3times akiwa na 17! Nasema hivi ni upumbavu haswaaaa.
 
Wifi yangu miaka 18 ndoa ya tatu sasa
 
Miaka 17 kashaachika mara tatu loh, kaanza kunyanduana akiwa tumboni mwa mzazi wake au? Kuna tatizo somewhere.
 
Pole yao sana wafiwa... alikua na matatizo...

Dida sugu sana, hata hajali...
 
Duh, at 17 bado nilikua naangalia katuni...
Au ni 27 imekosewa? Wazazi na jamii badilikeni
 
Umaskini . Kuna watu wana hali mbaya sana.

Ukute akiachika wazazi hawamkaribishi km mtoto wao tena, ndio kwanza wanampagaza mume mwengine ili wasaidiwe ulezi. Kuna matukio duniani we acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…