Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Mtibeli masuala ya ndoa achana nao kabisa, unayajua juu juu sio kivitendo, talaka sio rahisi kihivo mkuu.
Kupiga mke ni kilele cha udhaifu wa mwanaume yoyote Dunia
Wapendwa wa kipigana jua kuna moja anapenda mwenzie kupitiliza haiko tayari kumuacha.Sio rahisi vipi wakati kila siku watu wanapeana Talaka?
Unamaanisha nini sio rahisi?
Wapendwa wa kipigana jua kuna moja anapenda mwenzie kupitiliza haiko tayari kumuacha.
kuna dogo mmoja ni mwanajeshi,ni mteja wangu sasa siku kaja yeye na mkewe na mtoto mdogo na mke ni mjamzito,akaingia ofisini akaanza kuniambia ninaumwa kiuono huku analia ,nikajua mimba nikaagiza afanyiwe utrasound lakini analia sana ,kuita mume kumbe kashaondoka huko nje,baadae akaniambia kanipiga tena mbele ya mama mzazi wa mwanaume na ndugu wengine,aliporudi nikamwambia dogo acha unaa unapigaje mwanamke mangumi mpaka kababuka?Alafu wale wanaume wakorofi, wapiganaji wanaopigana mtaani na wanaume wenzao ni nadra Sana kupigana na wanawake
Na mara nyingi wanaume wanaopiga Wake Zao ukifuatilia hawajawahi kupigana na wanaume wenzao. Sijajua inasababishwa na nini.
kuna dogo mmoja ni mwanajeshi,ni mteja wangu sasa siku kaja yeye na mkewe na mtoto mdogo na mke ni mjamzito,akaingia ofisini akaanza kuniambia ninaumwa kiuono huku analia ,nikajua mimba nikaagiza afanyiwe utrasound lakini analia sana ,kuita mume kumbe kashaondoka huko nje,baadae akaniambia kanipiga tena mbele ya mama mzazi wa mwanaume na ndugu wengine,aliporudi nikamwambia dogo acha unaa unapigaje mwanamke mangumi mpaka kababuka?
Ndoa hujengwa na watu wawili kila mmoja akikubali kukaa nafasi yake na kuendelea kudumu katika upendo na heshimaWanapigwa wanawake wasiojielewa. Watumwa, wajinga, tegemezi, wasiopenda HAKI.
Hao utakuwa na ujasiri wa kuwapiga. Vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona.
Wewe huna ziada yoyote ya kumpiga mtu mwingine labda aamue kukuachia tuu
Endelea kuwa mbunifu kuhakikisha unawafundisha mabinti elimu za ndoa nawazitumie kwelikweli ivivi tu kazi ipo yaani wanafeli vibaya hasa vitandani na hapo tatizo linaanza ugomvi hadi anajibu vibaya tyr atatukanwa na atapigwa tuBINTI YANGU, KAMWE USIKUBALI KUISHI NA MWANAUME ANAYEKUPIGA AU KUKUTUKANA MATUSI YA NGUONI. KAMWE!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sisi watibeli hatupigi Wake zetu, Wala binti zetu hawapigwi Wala kutukanwa MATUSI ya nguoni.
Wala hatutishii kuwapiga, Wala wao hawatishiwi kupigwa. Na katika hayo hakuna kuteleza, hakuna bahati mbaya, hakuna kuzidiwa na hasira.
Tangu mwanzo mwambie mchumbaako kuwa moja ya mambo ambayo hutoruhusu na Wala kuvumilia ni kupigwa hata Kofi moja, Wala kutukanwa matusi yoyote ya nguoni.
Na endapo itatokea mwanaume akafanya hivyo usisite kumchukulia hatua zinazomstahili. Mtendee HAKI. Jicho lako lisiwe na huruma. Kama yeye alivyokosa huruma vivyohivyo nawe mchukulie hatua stahiki.
BINTI yangu, Mimi Baba yako nimeshuhudia mengi, zaidi ninaijua saikolojia ya watu wenye uwezo wa kupiga Wake Zao. Wenye uwezo wa kutukana MATUSI ya nguoni Wake Zao.
Hawana adabu.
Hawawezi kudhibiti hisia zao.
Hawajui nini chakufanya, hawana maamuzi sahihi.
Wanadharau na kukuona wewe ni Kama mnyama au mtoto au mtumwa au sio lolote sio chochote.
Binti yangu, mwanaume akikupiga jiulize huo ujasiri WA kukupiga umetoka wapi? Je ni ukichaa?
Je ni dharau juu yako?
Je ni ukosefu wa adabu?
Je ni ukosefu wa maarifa?
Wewe ni mtu.
Wewe ni mwanamke kama alivyo yeye ni mwanaume.
Hakuna sababu hata moja ya maana, na ya HAKI inayomfanya astahili kukupiga au kukutukana matusi ya nguoni. Hakuna hiyo sababu.
Nilikuambia, binti yangu ili uwe mtu lazima uweze kujitegemea. Lazima ufanye Kazi. Lazima uweze kuyaongoza maisha yako wewe mwenyewe. Sio umtegemee mumeo kwa kila kitu kama mtoto mdogo. Ndio maana utapigwa na kutukanwa matusi ya nguoni kama Mtu aliyedharauliwa, aliyelaanika.
Mwambie, watibeli hawanaga huruma kwa watu wenye dharau za makusudi kabisa. Watibeli hawanaga huruma na waovu wanaofanya uovu kimakusudi wakitegemea kuomba msamaha.
Asije akakudanganya mtu kuwa hutaolewa binti yangu.
Kama kuolewa kwenyewe ni kuolewa na wanaume wasiotenda HAKI ni Bora usiolewe kabisa.
Nilikuambia siku zote utende HAKI.
HAKI ni pamoja na kujiheshimu na kuheshimu wengine.
Usimuinulie sauti mwanaume , mheshimu mwanaume lakini kwa mambo ya HAKI. Kamwe! Kamwe! Kamwe! Usije ukakubali kumheshimu mtu yeyote aliyeamua kuivua heshima yake kwenyewe. Hiyo Sio HAKI.
Wasije wanaume wapumbavu wakakuambia maneno ya kipuuzi kuwa Mungu alituumba Sisi waume tuwatawale hata katika mabaya.
Asije akakuambia mtu yeyote kuwa unatakiwa umtii mumeo hata kwa Mabaya. Nope! Sio kwa Sisi Watibeli.
Mwanaume utamtii kwa mambo mema. Na sio Mabaya.
Mvumilie Mumeo kwa changamoto za maisha kama Hali za kiuchumi, labda kipato kidogo kutokana na riziki kuwa Haba.
Mvumilie Mumeo kwa Maradhi.
Lakini kamwe usimvumilie kwa mambo ya uovu.
Ndoa sio sehemu ya kuvumiliana maovu. Kuvumilia uovu ni kuusapoti uovu.
Makosa yanavumilika lakini sio uhalifu. Makosa yanavumilika lakini sio uovu/dhambi.
Makosa ni Kama wewe upige ugali uunguze, au unyooshe nguo iungue. Uvunje kitu kwa bahati mbaya.
Upoteze pesa kwa bahati mbaya (uzembe).
Sio mtu anakutukana matusi kwa dhamiri kabisa ili akuumize, anamtukana Mama yako, alafu mbaya zaidi sio mara moja yaani ni kila mara.
Mwambie Wala usimuogope, kama pombe akinywa zitamfanya akose akili ya kujizuia akafanya uovu akakupiga au kukutukana mwambie wewe hutohesabu kama ni pombe.
Ni aidha achague Pombe au Wewe.
Usiogope Wala kusita kuvunja ndoa na mwanaume anayepigapiga au kukutukana matusi ya nguoni. Mwanaume asiye HAKI.
Watibeli hatupo hivyo binti yangu.
Hayo yote ayajue mapema kabisa Kipindi cha mwanzoni ili yatakapoenda kinyume asije kusema hukumwambia. Mhakikishie kuwa hutokuwa na huruma.
Nimekufundisha kutenda HAKI. Basi iishi hiyo HAKI.
Acha Baba yako nipumzike sasa.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Nikimpa talaka utalea watoto wangu wewe? mwanamke anatia hasira pale anapoelekezwa kitu hafanyi na wengine kujibu palepale kuwa hataki kabisa na fuatilia watoto wengi wanalelewa na mzazi mmoja sababu kubwa ni mwanamke kushindwa kumtii mmeKumpiga mtu ni kosa kisheria sijui kama unajua jambo Hilo.
Pili, hakuna sababu hata moja ya kumpiga Mkeo/mumeo.
Kama mmeshindwana, hamuelewani peaneni Talaka.
Wewe ni falaHakuna kitu rahisi kama Talaka.
Hakuna anayelazimisha muwe pamoja na hakuna anayelazimisha msiwe pamoja.
Ndoa ni watu wawili tuu.
Hao wanaoachana kila siku wanafanyaje?
Wanawake wa kikurya wanacoment wapi?BINTI YANGU, KAMWE USIKUBALI KUISHI NA MWANAUME ANAYEKUPIGA AU KUKUTUKANA MATUSI YA NGUONI. KAMWE!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sisi watibeli hatupigi Wake zetu, Wala binti zetu hawapigwi Wala kutukanwa MATUSI ya nguoni.
Wala hatutishii kuwapiga, Wala wao hawatishiwi kupigwa. Na katika hayo hakuna kuteleza, hakuna bahati mbaya, hakuna kuzidiwa na hasira.
Tangu mwanzo mwambie mchumbaako kuwa moja ya mambo ambayo hutoruhusu na Wala kuvumilia ni kupigwa hata Kofi moja, Wala kutukanwa matusi yoyote ya nguoni.
Na endapo itatokea mwanaume akafanya hivyo usisite kumchukulia hatua zinazomstahili. Mtendee HAKI. Jicho lako lisiwe na huruma. Kama yeye alivyokosa huruma vivyohivyo nawe mchukulie hatua stahiki.
BINTI yangu, Mimi Baba yako nimeshuhudia mengi, zaidi ninaijua saikolojia ya watu wenye uwezo wa kupiga Wake Zao. Wenye uwezo wa kutukana MATUSI ya nguoni Wake Zao.
Hawana adabu.
Hawawezi kudhibiti hisia zao.
Hawajui nini chakufanya, hawana maamuzi sahihi.
Wanadharau na kukuona wewe ni Kama mnyama au mtoto au mtumwa au sio lolote sio chochote.
Binti yangu, mwanaume akikupiga jiulize huo ujasiri WA kukupiga umetoka wapi? Je ni ukichaa?
Je ni dharau juu yako?
Je ni ukosefu wa adabu?
Je ni ukosefu wa maarifa?
Wewe ni mtu.
Wewe ni mwanamke kama alivyo yeye ni mwanaume.
Hakuna sababu hata moja ya maana, na ya HAKI inayomfanya astahili kukupiga au kukutukana matusi ya nguoni. Hakuna hiyo sababu.
Nilikuambia, binti yangu ili uwe mtu lazima uweze kujitegemea. Lazima ufanye Kazi. Lazima uweze kuyaongoza maisha yako wewe mwenyewe. Sio umtegemee mumeo kwa kila kitu kama mtoto mdogo. Ndio maana utapigwa na kutukanwa matusi ya nguoni kama Mtu aliyedharauliwa, aliyelaanika.
Mwambie, watibeli hawanaga huruma kwa watu wenye dharau za makusudi kabisa. Watibeli hawanaga huruma na waovu wanaofanya uovu kimakusudi wakitegemea kuomba msamaha.
Asije akakudanganya mtu kuwa hutaolewa binti yangu.
Kama kuolewa kwenyewe ni kuolewa na wanaume wasiotenda HAKI ni Bora usiolewe kabisa.
Nilikuambia siku zote utende HAKI.
HAKI ni pamoja na kujiheshimu na kuheshimu wengine.
Usimuinulie sauti mwanaume , mheshimu mwanaume lakini kwa mambo ya HAKI. Kamwe! Kamwe! Kamwe! Usije ukakubali kumheshimu mtu yeyote aliyeamua kuivua heshima yake kwenyewe. Hiyo Sio HAKI.
Wasije wanaume wapumbavu wakakuambia maneno ya kipuuzi kuwa Mungu alituumba Sisi waume tuwatawale hata katika mabaya.
Asije akakuambia mtu yeyote kuwa unatakiwa umtii mumeo hata kwa Mabaya. Nope! Sio kwa Sisi Watibeli.
Mwanaume utamtii kwa mambo mema. Na sio Mabaya.
Mvumilie Mumeo kwa changamoto za maisha kama Hali za kiuchumi, labda kipato kidogo kutokana na riziki kuwa Haba.
Mvumilie Mumeo kwa Maradhi.
Lakini kamwe usimvumilie kwa mambo ya uovu.
Ndoa sio sehemu ya kuvumiliana maovu. Kuvumilia uovu ni kuusapoti uovu.
Makosa yanavumilika lakini sio uhalifu. Makosa yanavumilika lakini sio uovu/dhambi.
Makosa ni Kama wewe upige ugali uunguze, au unyooshe nguo iungue. Uvunje kitu kwa bahati mbaya.
Upoteze pesa kwa bahati mbaya (uzembe).
Sio mtu anakutukana matusi kwa dhamiri kabisa ili akuumize, anamtukana Mama yako, alafu mbaya zaidi sio mara moja yaani ni kila mara.
Mwambie Wala usimuogope, kama pombe akinywa zitamfanya akose akili ya kujizuia akafanya uovu akakupiga au kukutukana mwambie wewe hutohesabu kama ni pombe.
Ni aidha achague Pombe au Wewe.
Usiogope Wala kusita kuvunja ndoa na mwanaume anayepigapiga au kukutukana matusi ya nguoni. Mwanaume asiye HAKI.
Watibeli hatupo hivyo binti yangu.
Hayo yote ayajue mapema kabisa Kipindi cha mwanzoni ili yatakapoenda kinyume asije kusema hukumwambia. Mhakikishie kuwa hutokuwa na huruma.
Nimekufundisha kutenda HAKI. Basi iishi hiyo HAKI.
Acha Baba yako nipumzike sasa.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Wanawake wa Mara wanacoment wapi?BINTI YANGU, KAMWE USIKUBALI KUISHI NA MWANAUME ANAYEKUPIGA AU KUKUTUKANA MATUSI YA NGUONI. KAMWE!

Hakuna kusanyiko linaongozwa bila order, iwe serikali, shuleni, kanisani au msikitini.Mbona wanaume wanaopiga Wake zao ndio wanaongoza kwa udhaifu karibu kila idara?
Hiyo kusema mwanamke ni kama mtoto ni maoni tuu binafsi maana hata wao wanasema vivyohivyo kuwa wanaume ni kama watoto na wanafundishwa hivyo kitchen Party.
Swali Linakuja, kama nyumba ikiongozwa na maoni na Wala sio facts kama uliyosema.
Ikiwa unamchukulia Mkeo kama mtoto kumbe naye anakuchulia vivyohivyo.
Wewe ukikosea kwa maana kwa hakika utakosea tuu. Je akumwagie maji ya Moto maana nguvu ya kukupiga Hana?
Hakuna kusanyiko linaongozwa bila order, iwe serikali, shuleni, kanisani au msikitini.
Order inawekwa ku maintain peace and stability.
Order haingalii fairness bali long-term stability and hermony, ndio maana kuna sheria zinawabeba watu flani na kunyonya kundi flani.
Violation ya order inaangukia kwenye descpline measure, sijasema kuonewa
Mdogo wangu je umeoa?
Anyway naomba nikushauri yafuatayo.
Wanawake wote wanafanana asije kukudanganya. Mama yao ni mmoja.
Kama suluhisho kuu ni "kuachana na mwanamke" kama unavyopendekekeza. Basi utakuwa unaona kutwa mara mbili, maana yake ndani ya mwezi utakuwa umeoa wanawake 60.
Kipigo kwa mwanamke mkaidi, mwenye mdomo, jeuri na asiyekuwa na adabu ni sahihi kabisa na tena ni halali. Ni sawa tu na mwanafunzi mkaidi ambaye adhabu ya viboko vinamnyoosha.
Mwisho, hizi habari za haki sawa, sijui kumuwezesha mwanamke na bla bla nyingi waachieni wazungu. Ishini katika utamaduni wa mwafrika ambayo ndiyo inasisitizwa kwenye vitabu vitakatifu.
Hiyo inaitwa "PROVE THAT EQN" in mathematics.Niliwai kuambiwa nipige kama wewe ni mwanaume kweli
Mwarobaini wa aya yote wanaume tutafute pesa.
Wanawake wa kikurya wanacoment wapi?
Wanawake wa Mara wanacoment wapi?
Hiyo inaitwa "PROVE THAT EQN" in mathematics.
Or Validate the statement by logic law.
Kwanini Mwanamke Asipigwe Kwa kauli kama hiyo?
Wewe ni fala
ukikua utakuja kufuta upuuzi wako huu
Uzuri wa mwanamke uko mdomoni, wanaopigwa wengi wana midomo michafuBINTI YANGU, KAMWE USIKUBALI KUISHI NA MWANAUME ANAYEKUPIGA AU KUKUTUKANA MATUSI YA NGUONI. KAMWE!