Binti yangu, Kamwe usikubali kuishi na mwanaume anayekupiga au kukutukana matusi ya nguoni Kamwe!

Binti yangu, Kamwe usikubali kuishi na mwanaume anayekupiga au kukutukana matusi ya nguoni Kamwe!

Mnaongea kirahisi kwa sababu hampo katika ndoa.
Halafu talaka sio rahisi kama mnavyodhani
 
Hivyo vitu vyote sivipendi kabisa Robert Heriel Mtibeli siwezi kuishi na mtu, anayenitukana matusi ya nguoni ama kunipa vipigo. Hiyo itakuwa safari yetu ya maisha tumeishia hapo. Kila mtu atachukua hamsini zake.
Inatakiwa kuishi kwa upendo, kujaliana na kuheshimiana n.k

Upo sahihi kabisa.
Kama mtu unaona kabisa hakutii, hakusikilizi, hakuheshimu, anakudharau, anamdomo yaani kiufupi hamwendani si muachane kwa Amani tuu
 
Mnaongea kirahisi kwa sababu hampo katika ndoa.
Halafu talaka sio rahisi kama mnavyodhani
Watu wa miaka hii wengi wadhaifu ukimpiga kidogo TU ashakufia, Sasa kwanini uende jela kisa kiumbe ulichokutana nacho ukubwani ?
 
Back
Top Bottom