Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Ndio ninakuuliza wewe unapomtia hasira Mkeo yeye akumwagie mafuta ya Moto usoni? Au akupe adhabu gani?Nikimpa talaka utalea watoto wangu wewe? mwanamke anatia hasira pale anapoelekezwa kitu hafanyi na wengine kujibu palepale kuwa hataki kabisa na fuatilia watoto wengi wanalelewa na mzazi mmoja sababu kubwa ni mwanamke kushindwa kumtii mme
Kama anakutia hasira si umpe Talaka.