Binti yangu, Kamwe usikubali kuishi na mwanaume anayekupiga au kukutukana matusi ya nguoni Kamwe!

Nikimpa talaka utalea watoto wangu wewe? mwanamke anatia hasira pale anapoelekezwa kitu hafanyi na wengine kujibu palepale kuwa hataki kabisa na fuatilia watoto wengi wanalelewa na mzazi mmoja sababu kubwa ni mwanamke kushindwa kumtii mme
Ndio ninakuuliza wewe unapomtia hasira Mkeo yeye akumwagie mafuta ya Moto usoni? Au akupe adhabu gani?

Kama anakutia hasira si umpe Talaka.
 
Endelea kuwa mbunifu kuhakikisha unawafundisha mabinti elimu za ndoa nawazitumie kwelikweli ivivi tu kazi ipo yaani wanafeli vibaya hasa vitandani na hapo tatizo linaanza ugomvi hadi anajibu vibaya tyr atatukanwa na atapigwa tu

Watu wakipenda HAKI hakuna haja ya mafundisho
 
Kwa Sisi Watibeli hatuwezi ishi na mtu anayetulazimisha tufanye uhalifu.
Hapo suluhu sio kumpiga, suluhu ni kumuacha tuu.

Uliwahi kuona mtu mwenye akili zake timamu, mtu mzima akawa hivyo yaani bila makofi haendi?

Alafu nawe ati utampiga kwa vile wote mpo sawa
Magugu yakiota shambani Sharti Yang'olewe.
Hakuna Mwanamke anayepigwa pasipo sababu ya Msingi.
 
Kaka angu mi huyu antiel huwa akinikera huwa nalia sana mkuu...

Badae nampigia mdogo ake anaitwa dorry huwa nalalamika mno.. akija tunayaweka sawa.

Sijawahi tukana hata kidogo, kuna siku nilijaribu akasema """nitakamata hizo korodani zako nitaziminya""

Tangu hapo mi huwa nalia tuu sitaki shari na mtu
 
Kutokumpiga haimaanishi uwe bwege.
 
Wewe ukikosa discipline unashughulikiwaje?
To every rule there's an exception, mwanaume ni sawa na exacutive branch kwenye uongozi, Taasisi au serikali.
Baba anaambiwa kwamba hapo umekosea hajaufanya vizuri yanaisha.
Tatizo wanawake wakianza kuongea, wanaongea non stop na lugha kejeli na ukinyamaza au kukubali, bora amalize, ndio anaendelea na kupaza sauti, lazima umwambia sasa inatosha, usivuke redline
 
Kwenye HAKI hakuna hiki ulichoeleza.

Kwenye HAKI kila mtu yupo Sawa chini ya Sheria.

Mwanaume ni kiongozi wa familia lazima afanye na afuate sheria ili wengine waige mfano.

Lakini kama hafuati hakuna haja ya wengine kufuata.

Comments humu zinazidi kuonyesha Sisi wanaume ndio wenye matatizo.

Huwezi weka Sheria ambayo hauifuati alafu ukamuambia Mkeo afuate. Huyo mke labda awe ndondocha.

Mwanaume ni kichwa yeye ndio kiongozi.
 
Wenye Sababu wanafanya hivyo..

Kwanini hakupigwa Jana halafu apigwe Leo?
Leo imekuaje?
Mpigaji anakichaa?
Je, Jana alikuwa anampenda Leo hampendi?
Kwanini hajapigwa Mwingine apigwe yeye?

Unauliza mpigaji anakichaa wakati ndio majibu.

Mwanamke mwenye hadhi, akili, mzuri, anayejitambua huwezi mpiga hapo akaendelea kuwa Mkeo. Huyo mwanamke hayupo.

Na hakunaga mwanaume timamu, msomi, mwenye akili, anayejitambua ambaye atampiga mkewe. Huyo mwanaume hayupo
 
Je, sababu ya hicho kichaa Nini?
Mbona hakuwa kichaa Jana?
Iweje Leo?

Mbona Walimu wanachapa Wanafunzi Shuleni, Na bado Walimu wanaendelea kuwa Walimu Kwa Wanafunzi.
 
Kwenye HAKI hakuna hiki ulichoeleza.

Kwenye HAKI kila mtu yupo Sawa chini ya Sheria.

Mwanaume ni kiongozi wa familia lazima afanye na afuate sheria ili wengine waige mfano.

Lakini kama hafuati hakuna haja ya wengine kufuata.

Comments humu zinazidi kuonyesha Sisi wanaume ndio wenye matatizo.

Huwezi weka Sheria ambayo hauifuati alafu ukamuambia Mkeo afuate. Huyo mke labda awe ndondocha.

Mwanaume ni kichwa yeye ndio kiongozi.
Una huakika kama kwenye haki wote mi sawa!?
Kwanini kuna watu wana immune kwenye hiyo haki na sheria?!
 
Hakuna mwenye hiyo immune.

Ndio maana watu wanataka Katiba Mpya.
Ila watu wajinga, wenye UPEO mdogo, ambao hawakuelimika ndio huwaza kama wewe kuwa mtu akishakuwa na cheo Fulani apewe kinga.

Mimi/wewe kuwa Mwanaume au mzazi hautupi immune tunapofanga maovu
 
Je, sababu ya hicho kichaa Nini?
Mbona hakuwa kichaa Jana?
Iweje Leo?

Mbona Walimu wanachapa Wanafunzi Shuleni, Na bado Walimu wanaendelea kuwa Walimu Kwa Wanafunzi.

Wanaochapwa ni watoto wadogo chini ya miaka 18 tena kwa utaratibu maalumu.

Mkeo sio mtoto ndio maana ulimuoa.

Uliwa sikia mwanafunzi wa chuo akitandikwa?

Ni akili finyu kumfananisha mke na wanafunzi wadogo wanaosoma shule ya msingi na sekondari.
 
Hakuna mwenye hiyo immune.

Ndio maana watu wanataka Katiba Mpya.
Ila watu wajinga, wenye UPEO mdogo, ambao hawakuelimika ndio huwaza kama wewe kuwa mtu akishakuwa na cheo Fulani apewe kinga.

Mimi/wewe kuwa Mwanaume au mzazi hautupi immune tunapofanga maovu
Basi tufanye uko sahihi
 
Basi tufanye uko sahihi

Sio tufanye Niko sahihi.

Wewe kwa uelewa wako Wazungu wanahaki ya kututawala na kutunyonya au kutukandamiza? Kwa uelewa wako?

Kwa uelewako wako, watu warefu wanahaki ya kuwaonea, kuwakandamiza, kuwanyonya watu wafupi?
 
Je, sababu ya hicho kichaa Nini?
Mbona hakuwa kichaa Jana?
Iweje Leo?

Mbona Walimu wanachapa Wanafunzi Shuleni, Na bado Walimu wanaendelea kuwa Walimu Kwa Wanafunzi.
Nawewe ukikosea mkeo akufanyaje ??
 
Je, sababu ya hicho kichaa Nini?
Mbona hakuwa kichaa Jana?
Iweje Leo?

Mbona Walimu wanachapa Wanafunzi Shuleni, Na bado Walimu wanaendelea kuwa Walimu Kwa Wanafunzi.
Mtu mzima hapigwi anaelekezwa , ana akili timamu huyo atakuelewa ndomana ukamuoa. Ukimshindwa muache huna mammlaka ya kupiga binadamu yoyote labda wanao wadogo
 
Je, sababu ya hicho kichaa Nini?
Mbona hakuwa kichaa Jana?
Iweje Leo?

Mbona Walimu wanachapa Wanafunzi Shuleni, Na bado Walimu wanaendelea kuwa Walimu Kwa Wanafunzi.
Kwahiyo nawewe ukimkosea mwanaume mwenzio huwa unakandwa au , acha kuonea wanawake mbona wanaume wenzio wakikukosea huwapigi au unawaogopa weyeee
 
Back
Top Bottom