Malkia wangu
Senior Member
- May 1, 2024
- 143
- 265
Kwahiyo nawewe ukikosea upigwe auKwanini apigwe?, ukiona kapigwa ujue kuna tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo nawewe ukikosea upigwe auKwanini apigwe?, ukiona kapigwa ujue kuna tatizo
Umeoa au umeolewa?, kama siyo mwanaume na hauna angalau miaka 10 ya ndoa, tafadhali kaa pembeni.Kwahiyo nawewe ukikosea upigwe au
Kukwepa kujibu ilo swali tayari una tatizo weweUmeoa au umeolewa?, kama siyo mwanaume na hauna angalau miaka 10 ya ndoa, tafadhali kaa pembeni.
Hivyo vitu vyote sivipendi kabisa Robert Heriel Mtibeli siwezi kuishi na mtu, anayenitukana matusi ya nguoni ama kunipa vipigo. Hiyo itakuwa safari yetu ya maisha tumeishia hapo. Kila mtu atachukua hamsini zake.Bantu Lady unapenda kupigwa na kutukanwa matusi ya nguoni na Mumeo?
Hivyo vitu vyote sivipendi kabisa Robert Heriel Mtibeli siwezi kuishi na mtu, anayenitukana matusi ya nguoni ama kunipa vipigo. Hiyo itakuwa safari yetu ya maisha tumeishia hapo. Kila mtu atachukua hamsini zake.
Inatakiwa kuishi kwa upendo, kujaliana na kuheshimiana n.k
Watu wa miaka hii wengi wadhaifu ukimpiga kidogo TU ashakufia, Sasa kwanini uende jela kisa kiumbe ulichokutana nacho ukubwani ?Mnaongea kirahisi kwa sababu hampo katika ndoa.
Halafu talaka sio rahisi kama mnavyodhani