Mmh!!! unafikiri talaka ni rahisi hivo, talaka sio sulihisho kwa hilo, unafikili watu hajui kwamba kuna talaka ndoa ni complex sanaa huwezi kuelewa mpaka ingie ndani, ni wanaume wachache wanao weza kumudu ndoa.Kumpiga mtu ni kosa kisheria sijui kama unajua jambo Hilo.
Pili, hakuna sababu hata moja ya kumpiga Mkeo/mumeo.
Kama mmeshindwana, hamuelewani peaneni Talaka.