Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti
na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
hapana mkuu, nimeolewa.Bado unaishi kwenu?
Fafanua mkuuNyumban hauwez kua na kila ktu mzee
Anayo 24Ana umri gani?
Kipato anacho cha kutosha?
Mostly likely kapata bwana ndo anaenda kumpangia huko...
Kama Hana bwana mmoja WA kumpangia nyumba atakuwa anataka Uhuru wa kudanga ...Anayo 24
Kuna wasela mavi wameshamharibu akili. Ana umri ganiHabari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Usimruhusu.Anayo 24
Unakosea sana miaka 24 ni mtu mzima mwache akatafute maishaAnayo 24
Mbona ni mtu mzima au mpaka afikishe 35Usimruhusu.