Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Haha wewe kiumbe shika..mooMpaka niolewe ndo ntaondoka nyumbani au nipate kazi mkoani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha wewe kiumbe shika..mooMpaka niolewe ndo ntaondoka nyumbani au nipate kazi mkoani
Ni vizuri lakini kila mtu na malengo yakeMpaka niolewe ndo ntaondoka nyumbani au nipate kazi mkoani
😀😀😀😀mtoto wa kike unaendaje kupanga huna sababu za msingiHaha wewe kiumbe shika..moo
Anataka kula tunda kama sio kuliwa😀😀😀😀mtoto wa kike unaendaje kupanga huna sababu za msingi
Nimeipenda 😂maisha n mazuri tupo ghorofani sio kujirusha jaman 😆😆
Unaongea kwa dhihaka subiri wako aje kukojozwa na kibendi juu utajua hujui24 yrs anatakiwa nimuweke gheto kwanza apate experience kidogo ya ndoa ya mchongo siyo kuendelea kumng'ang'ania hapo nyumbani atakuja kunisumbua bhana.
Kuikeshea ndo kitu tunamiss mara nyingiAnataka kula tunda kama sio kuliwa
We endelea kukaa hapo hapo mpaka geti liandikwe tunauza barafu na hakuna mbwa mkali 😂😀😀😀😀mtoto wa kike unaendaje kupanga huna sababu za msingi
itumie na weNimeipenda 😂
😀😀😀sawaaaWe endelea kukaa hapo hapo mpaka geti liandikwe tunauza barafu na hakuna mbwa mkali 😂
Ana miaka mingap?Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Kabisa,ngumu waoaji kuoa Dem kapangaAkipanga mwenyewe Wala haoelewi
Nitaitumia ni nzuri sana 🤗itumie na we
Una hamu wewe😂Kuikeshea ndo kitu tunamiss mara nyingi
😂😂😂 ni hapo akajifungie akajirushe mimi sitaki kua shahidiNitaitumia ni nzuri sana 🤗
Ah wapi 😀😀😀😀vitu vidogo sana kwangu hivyoUna hamu wewe😂
Umeikeshea sana hadi umriona ya kawaida eeAh wapi 😀😀😀😀vitu vidogo sana kwangu hivyo
Mungu aepushie mbali bora akaolewe kuliko kuanzisha laana.😂😂😂 ni hapo akajifungie akajirushe mimi sitaki kua shahidi