Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
24 ni too muchAnayo 24
24 alitakiwa awe ameajiliwa mkuuDunia imechange, binti wa 24 anaonekana mtu mzima,
Bado anahitaji muongozo wa wazazi wake
Kipo...huenda ana mahusianoHabari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
NakaziaUsimruhusu.
Labda umsaidie mleta uzi, nini hasa kinapelekea mawazo hayo?nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti
na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
Kwa sababu wana Uhuru uliopitiliza. Wakiwa na Uhuru sana thamani zao zinashuka. Hakuna mwanaume anakubali kuoa mwanamke wa thamani ya chini . That is it.Kwanini,wanaume tunaogopaga wanawake waliopanga wenyewe
waacheni watoto watapate changamoto mpya..... wazee wa siku hizi hambadiriki sijuhi mnatizamaje maishaHabari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?