Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Hivi ndivyo nilivyoona hata kwa dada zangu, waliondoka walipopata ndoa,nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti
na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
wazee wa zamani walikuwa na misimamo yao.